Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,597
- 1,868
habar jf,
Nipo kwenye wakat mgumu wa kujaribu kupata data zangu za zaid ya miaka 4 kwenye HARD DISK ambayo kila nikijaribu ku open inataka ni FORMAT na nikjiaribu ku CHKDSK ina leta sms ya DATA ERROR{CYCLICK REDUNDANCY CHECK}..naomben wataalamu hata kama nikuja mlipo nije tuu...kwan imebeba sehemu ya maisha yangu..