Cyberbullying

Hahaha pachaa siku hizi hata pm za mitongozo zinasambazwa..... Wenyewe wanaziita screen shots.
Khatari kabisa shekh.
Khatari ya screen shots muulize Vicky Kamata , ilimuharibia ndoa shekh.

si bora liwe tongozo, ogopa hata pm ya "hi" itapikwa sumu hautamini
 
watu wanafiki sana humu
mi ndo maana naogopa kujuana na watu kiuhalisia
sio kwa sababu sijiamini
hapana ila sipendi ugomvi ugomvi na visasi vya ajabu ndo maana sina adui wa kudumu humu
nimejiunga ili niongezee maarifa na ufahamu wangu

Yes dear...humu kichefuchefu....nilijaribu kujuana na asakuta same hata masaa hayakupita alinitibua...nikaamini ya ngoswe aachiwe ngoswe mwenyewe...pm nakausha..tujuane hapahapa kwa uzi yatosha
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima mtu anayekusambaza uwe umeongea nae au unajuana nae!Mwengine humjui na hakujui na anakutafuta ubaya
Sasa mtu asiyekujua, hamjawahi kuongea hata mara moja, anaongea ama kuzusha maneno mtandaoni unaumia? Kwa sababu gani? Mie nkifikiri anayeku bully awe anadetails zako, anakufahamu au ulimingle nae sehemu, japo ndio uumie, vinginevyo unamuweka kwenye trash can tu.
.Mtu anayekaa na kubully wenzake ni mgonjwa na ni mkosaji tatizo anakuwa hana vithibitisho na vigezo vya kutosha vya kukutake down ndo anakuzushia vitu vya kipuuzi
Anayefanya hivyo kweli ana mapungufu sana. Huwa naangalia mara nyingi hata mada zingine mtu ukisoma unaona kabisa hii inamlenga mtu, Ili iweje? Hao wanaofanya hivyo ndio wanajua sababu za kufanya hivyo, lakini ni kukosa busara tu. Ukiamua kujilipua Na mtu, uwe mtandaoni au mtaani ujiandae kwa matokeo hasi au chanya.
Ila sikatai wengine wanajitakia wasambazwe na inakuwa somo kwao.
Wengi tunajitakia tu, kuna mengi tunafanya kwa makosa. Lakini wanaofanta hivyo nao wana walakini...!
 
Yes kuna watu wamfyatuka kabisa kichwani ukifikiria unaona mtu ameenda menopause ya ubongo....
 
Sio kuumia my dia,mimi labda nina njia za kucope na cyberbullying....since i am a matured person and i have been bullyed as a child so i have already my own defence mechanisms.Lakini mtu mwengine inaweza kumuathiri sana maisha yake psycologically kwasababu anakuwa anaona kama jamii imemgeuka na kumuangusha.Kwahio hapa tunajadili cyberbullying in general and how to avoid it or stop it.If the are any techniques that someone used and they have worked share it for the sake of others!
NB:Nanukuu si kila mtu anayekuwa bullyed anajitakia wengine wanazushiwaaa tu na ndio maana ikaitwa BULLYING!!
 
Lakini bado hujanipa mrejesho mshenga..!
Ukiamua kuingia kwenye mahusiano lazima ujiandae kwa matokeo yoyote. Lakini pia ukiwa kwenye mahusiano kuna vitu lazima uchukue tahadhari, kwani lazima mpigani mapicha ya utupu? Vijana wenyewe hawa, mkigombana kidogo kakupeleka live mtandaoni...aah!
 

sio buller,ni bully....cyberbullying sio uzushi tu inaweza kuwa vitu vya kweli ila kwa mtindo wa kashfa na kejeli,na hizi zinapelekea hata victims kujiua au kupata athari nyingine kisaikolojia.
 
Yes dear...humu kichefuchefu....nilijaribu kujuana na asakuta same hata masaa hayakupita alinitibua...nikaamini ya ngoswe aachiwe ngoswe mwenyewe...pm nakausha..tujuane hapahapa kwa uzi yatosha

mi ndo staki kabisa kwa kweli tena sie mabinti nshaona humu wanavyochafuana watu basda ya kujuana hamu sina
naogopa sana mimi
kwa kweli hapa stori tu...!!
 
Last edited by a moderator:
So, how do you avoid or stop cyber bullying?
As long as you use internet and share information with people, don't think you can stop it 100% lakini you can avoid it by sharing ONLY what you think is supposed to be seen/shared with friends. Stop interacting with anonymous people. Labda kwa njia hiyo twaweza kupunguza machungu ya kuteswa kisaikolojia kwenye mitandao.
 
ole wake mtu aje kunizunguka mbuyu uwiiii ntanyooka nae afu ni ushamba wa hali ya juu
 
ole wake mtu aje kunizunguka mbuyu uwiiii ntanyooka nae afu ni ushamba wa hali ya juu

Hahahaa una bahati sikujui nje ya hapa ningekusambaza interview ya jana umepata 20% lol
 
Hivi cyberbullying inainclude misuto ambayo mara nyingi huanzia mmu na kuhamishiwa chitchat? Au hiyo ni.counter cyberbullying?
 
Umemaliza, ugumu wa maisha mtaani unachangia sana. Likes mitandaoni zinakuwa njia ya ku 'escape from reality'.

 
Umemaliza, ugumu wa maisha mtaani unachangia sana. Likes mitandaoni zinakuwa njia ya ku 'escape from reality'.

Sasa mtu anatafuta likes kwa kukashifu na kuzusha....??? Si aandike vitu vya maana apate hizo likes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…