Habarin za huku ndugu, samahan kwa usumbufu,jaman mm nna tatzo moja tu mwenye uwezo naomba anisaidie..... Nataka kujua ni mfumo/software gani wanao tumia watu wa cyber katika kumuekea mteja muda kwenye saver machine?je wana connect kwa kutumia window saver/time watcher ipi....... Yaan saver inakuaje hadi inaweza Ku control clients.... Help please