Samahani nahtaji kupata msaada wa maelezo na ujuzi kidogo kuhusu vitu vitatu tu.
1. Ethical hacking
2. Computer forensics
3. Intrusion detection & security monitoring
Sent from my SM-J260F using
JamiiForums mobile app
Ethical hacker(CET)
EH-Ni hacker mwenye kibali kutoka kwa owner wa website ,kuhack kwa ajili ya kufind vulnabilities,
na kufix security holes.....
hii ina qualification zake unaitaji kufanya paper lake, theory na
practical ukifaulu ndio unakuwa certified,, (CERTIFIED ETHICAL hacker)
Hii ni kama CPA Kwa wahasibu......
computer forensics
hii inahusiana na kutafuta evidence kwenye computer mara nyingi hapa
utasikia police wamekuja wamechukua simu,pc ya mtu kwa uchunguzi zaidi..
hapa pia watarecover data zako hata kama ulizifuta...
so inahusiana na kutafuta evidence kwenye pc,
kwa makampuni mengine angalia usitume network(internet) ya office kwa mambo mengine muda wa kazi unaweza fukuzwa kazi........
(use vpn) and (incognito) ,,,
intrusion detection & security monitoring
hii inadeal na wavamizi(wadukuaji) inawadetect na kutoa taarifa
hapa mfano hacker anajaribu kudukua server,admin anapewa taarifa tu kuna mtu out of sytem
alikuwa anajaribu kuaccess hizo server,anachukua hatua...
hapa ndio skiddie wanapokamatwa kwa sana,,
security monitoring
hapa ni kumonitor usalama wa server,sytem, or whatever...