Cyber law kuanza September Mosi


Jamii forums wakitakiwa kutoa taarifa zako watatoa tu iwapo sheria inataka kufanya hivyo.
 
Hii inatakiwa iwe kwenye Ilani yao na nina uhakika itawapatia kura nyingi tu.

CC: Tumaini Makene

Ukawa iwekeni hii kwenye ilani yenu kwamba 'mtafuta sheria zote zinazominya haki ya raia kupata habari kutoka taasisi au chombo chochote cha habari mradi havunji sheria kama ilivyofafanuliwa ktk katiba itakayotungwa' n.k
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha.. Kura yangu itasaidia kuleta mabadiliko kwenye mfumo wa utawala wa nchi hii.. Na tumehakikishiwa na viongozi wajao wataanza kwa kuzifutilia mbali sheria zote za kijinga ambazo zilipitishwa kwa mihemko ya kimipasho zaidi kuliko uhalisia.. Sheria hii ni moja wapo ya zile za kijinga kabisa..
 
TCRA wajibu hujuma za TBCCCM kwanza. Waache ujinga wa kukurupuka
 
Last edited by a moderator:
Lowassa Akiingia Tutamwomba Aanze na Hii Sheria Kandamizi Kwa Kui Call back For Review.
 
Wameshindwa kudhibiti makosa ya mitaani, hiyo sheria sidhani kama itafanyiwa kazi ipasavyo.
Nchi yetu kila kitu kinafanyika kiholela, sheria nyingi na wala hazisimamiwi. Nasubiri kuona
 
Reactions: G3T
bora ianze tu hyo sheria watu wengi wamekuwa wakipost vitu vya uchonganishi wa viongoz wetu na wanaichi kutukana viongozi kila kukicha ktk mitandao nasema sheria ianze na ifanye kazi inavyotakiwa bila kupindisha

kwa sababu unalipwa na gambazzzz ,lazima uwatetee maboss zako
 
hapa ndiyo unajidhihilisha yakwamba wewe ni bwabwaa la ccm.haya kachukue buku 7 zako maana si wote wendawazimu kama wewe.

Thanks 4 that,25october magufuli ili upaniki zaid na ndo raisi hata wapige kura watu 100 tu
 
thanks 4 that,25october magufuli ili upaniki zaid na ndo raisi hata wapige kura watu 100 tu

hapo ndipo mnapo jidhihilisha ya kwamba ccm wamejaa wezi tuuu.pamoja na wewe.sisi ndiyo wapiga kura sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…