bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,221
Eehwawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu...
Ni genge la wahuni tupuCwt hakuna msaada kwa walimu
Cwt ni maumbwa na wezi wakubwa Sana!Ni genge la wahuni tupu
Katibu kuu na mweka hazina wake wanatumikia kifungo kwa ubadhirifu.wawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu.
Walimu wakuu na maafisa kata tumeshawaweka sawa na maafisa utumishi nyie mnashindwaje? Mwakilishi yeyote ambaye shuleni kwake mwalimu atajitoa cwt tutahakikisha uchaguzi ujao hatachaguliwa tena, Mimi ni katibu uwezo wa kumwondoa hata sasa ninao.
Nyie waambieni walimu wakihama watakatwa mara mbili . Tambueni posho zenu, mishahara ya makatibu inatoka kwenye makato sasa wakihama itakuwaje? Walimu wanaelewa , mmeona tulivyowatishia wa kasekese na sibwesa mambo yapo sawa? Wewe unashindwaje?
Narudia tumieni kila mbinu. Pale mtakaposhindwa tuwasiliane haraka, mengine nitaongea kwenye kikao.
Mwl.
Mafuru.
Katibu cwt Tanganyika.
Katavi.
Embu tuelekezeni alishinda vipi hizo mbinde!Kuna jamaa kajitoa kwa mbinde
Aisee jamaa alipambana kibabe sana kupitia maandishi. Alihoji why akatwe na hakuwahi kuwa mwanachama kupitia ujazaji wa fomu ya uanachama?Embu tuelekezeni alishinda vipi hizo mbinde!
Cwt Ni chama la wapigaji - kikokotoo kimewashindaje sasawawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu.