CWT ni jipu uchungu

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
CHAMA CHA WALIMU TZ NI JIPU

Walimu jitambueni na hiki chama chenu cha walimu Tanzania.jiulizeni kimewanufaisha nini?. na je wale walio staafu umewaona wamefaidika nini na uanachama wao?.michango ya uanachama kila mwezi inakwenda wapi? na je unataarifa gani juu ya miradi ya chama chako hiki?..je chama hiki kimewai kaguliwa mara ngapi?.pia ujiulize uanachama huo ni wahiyari au walazima??. ukijiuliza maswali hayo utapata jibu kuwa cwt ni jipu uchungu na dhuluma ya dhahiri kwa walimuuu ..JITAMBUE EWE MWALIMU
 
CWT washenzi,mdogo wangu ni mwalimu walimkata kwenye mshahara bila hata kujaza fomu zao za uanachama.
 
Tufanyeje kusitisha makato ya lazima kwenye mshahara wangu? Mwenye kuujua utaratibu atujuze tuanze mchakato mara moja.
Wamekaa kimya na sijui wanamwogopa huyu anayewadhalilisha walimu kwa kuwaombea lift kwenye daladala za wenyewe. Hawashughuliki hata kuoganise mgomo kupinga udhalilishaji huu unaotokea mbele ya uso wao tena yalipo makao makuu. Walimu hawajalipwa nauli zao wala madai yao mengineyo. Wao wamechuna tu na kukimbilia michango yetu. Kiufupi siwaelewi kabisa na kama vipi sizihitaji huduma zao.
 
Sualala uanachama ni pana zaidi ya hapo. Uanachama unaratibiwa na sheria ya jamhuri
 
Tufanyeje kusitisha makato ya lazima kwenye mshahara wangu? Mwenye kuujua utaratibu atujuze tuanze mchakato mara moja.
Wamekaa kimya na sijui wanamwogopa huyu anayewadhalilisha walimu kwa kuwaombea lift kwenye daladala za wenyewe. Hawashughuliki hata kuoganise mgomo kupinga udhalilishaji huu unaotokea mbele ya uso wao tena yalipo makao makuu. Walimu hawajalipwa nauli zao wala madai yao mengineyo. Wao wamechuna tu na kukimbilia michango yetu. Kiufupi siwaelewi kabisa na kama vipi sizihitaji huduma zao.
Sasa wewe Mnashi hu UZI ni kuhusu CWT.Mh Makonda katokea wapi?
Halafu hujalazimishwa kupanda hizo dala dala.
Wacha chuki nyie ndo walimu wenye ROHO mbaya. Sijui umekuwa je mwalimu.
 
ni mwl. kabla ya huyo anayetuombea lift na wewe kuzaliwa. Siifanyi kazi hii kwa bahati mbaya na eti nilkosa nyingine ya kufanya. So, acha kuusakama ualimu wangu. Nijibu swali lako, ndiyo cwt ilitakiwa imwashie moto wa kutosha huyo mwombea lift wenu kwa kuingilia yasiyomhusu. Anatutoa kwenye mood ya kudai madai yetu kwa kuanzisha vitu rahisi visivyoweza kuishi hadi kesho na kuacha kuhimiza ujenzi wa nyumba za walimu, madarasa na vyoo mashuleni. Mvua zinanyesha Dar, maeneo ya mashule mengi yamejaa maji, hashughuliki nayo anakazana kutuombea lift. Badala ya kumshinikiza mkurugenzi wa manispaa kuwalipa walimu nauli zao za likizo za tangu 2013 december yeye anaomba diesel ya kwenda kuona jinsi daladala zilivyosusiwa na eaombewa lift. Usimtetee kwa kuwa una mahaba naye mwambie afanye yale aliyoajiriwa kuyafanya na cwt acheni kulala kwa kuvimbiwa michango yetu inukeni mumwambie akutane nasi siyo kwenye luninga!
 
Haya bhana naona waliojiunga TUICO RAAW TALGWU wanalipwa mafao na marupurupu mengi na viwandan hakuna shida yoyote. Paka pori nyie!!!!
 
Toka siku ile walipokuja na lile bango lao la "shemeji unatuachaje" nikasema kimoyomoyo
kweli walim wanahitaji ukombozi hasa
 
Back
Top Bottom