Hahahaha! Hata hvyo inabidi mnishukuru sana kwa hizi safari zangu za mara kwa mara, vinginevyo mngekufa na njaa!..we fikiria nisingeenda USA kipindi kile mngepata wapi net za bure?...lol...Hehe sasa na majonzi kanitoka kipenzi wangu "Amy Winehouse"...nasikitika sijaitwa kwenye Janga la Norway.....hahahaha Unajua nyie Watanzania nyie swala la umeme mnalichukulia mchezomchezo tu hahaa....Nilifurahi sana mwandishi wa Bibisi nilipombwaga na maswali yake......sasa najifunza kuogelea visiwa vya marta na kumwona rafiki yangu Kipenzi...
magu bana hutaniwi duh! Haya bana endelea kupuliza msuba
Hahahaha! Hata hvyo inabidi mnishukuru sana kwa hizi safari zangu za mara kwa mara, vinginevyo mngekufa na njaa!..we fikiria nisingeenda USA kipindi kile mngepata wapi net za bure?...lol...
Vipi ratiba ya JK ksho atakuwa nchi gani?bara gani?
Sasa Maguuu si unaharibu holiday
Yako kufikiria haya??
ati magu kwa nini huwagi serious ukiongelea jambo lolote?? Hivi lini unaenda barcelona kuchukua jezi mpya??
Mimi Magulumagu.....
Sina post ya maana kwa sasa, je nimefulia, sina sera, ni mpenzi wa JF how usiniulize...Siipendi CCM kivipi usitake nitapike....Nawachukia rais wetu Kikwete maana muongo na waziri mkuu wake...Nchi yangu nilikuwa naipenda kabla haijauzwa, kwa sasa kila mwenye nacho anajimilikisha anavyotaka...
Hehehe kama huna la kuandika sorry hapa si pake...niko vacation usiniulize wapi maana hata rais wetu husafiri kila wiki...
ati magu kwa nini huwagi serious ukiongelea jambo lolote?? Hivi lini unaenda barcelona kuchukua jezi mpya??
Ukisoma JF siasa kila siku unaweza pata presha!!..hebu tuwe vacation kama raisi wetu, sijui nani ata-run nchi??!
Bora ukajilaze mkuu mana inaonekana unapiga hatua moja mbele, tano nyumba..ha ha
Vunja mifupa kama bado meno ipoooo...ambulance ipo inanisubiri hata nikipanda ndege niko na Dr wangu kwani tatizo wapi? Acha wasiojua Vakasioni wakome na jua huko Bongo...
Mtachonga sana na Serikali,mie nipo London nilijikwaa kidole cha mguuni Kempinsky nimeletwa napata matibabu. Usiniulize Mshua kazitoa wapi pesa,jiulize kodi inakufanyia nini. Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Vunja mifupa kama bado meno ipoooo...
aiseee