CV ya Sakina Datoo

CV ya Sakina Datoo

sakina amekulia katika maisha ya hali ya kawaida dar es salaam. jitihada za kusoma na kuwa na msimamo wa unachokisomea kukifanyia kazi kwa bidii ndio iliyompelekea sakina kuwa na cv nzuri mwenyezi mungu amjaalie zaidi na wengine wenye jitihada kama zake amin.
 
This lady is an inspiration to any upcoming media personnel who thinks beyond the box. She has a knack for maintaining professionalism no matter what, a character hard to find amongst media personnel in this country.
Aliesema ati ni mtoto wa kishua ebu ajaribu kufatilia career ya this lady deeply sio juu juu tu ndo aje kusema ivo. I am in the media industry myself so I know what I am talking about na hata kama angekuwa wa kishua ,her efforts alone surpasses every claim. Kwa watu tunaoielewa media industry, Sakina is one of the very few best in the bucket. She takes no B.S from nobody

There is no doubt in my mind that Sakina Datoo is a jewel in the current infamous media industry in Tanzania. Kama mtamtumia kwenye uongozi wa vyama vya wanahabari nina hakika mtapata maendeleo hasa kwenye taaluma yenu na maslahi pia!! Binti huyu sio mchumia tumbo na hilo ndilo linalompa nguvu ya kuwa na principles juu ya taaluma yake na hapo ndipo alipomshinda bwana Mengi!!
 
ameolewa??ana watoto?? kwa elimu alo nayo cdhan km anamuda wa kuwa na familia
 
ameolewa??ana watoto?? kwa elimu alo nayo cdhan km anamuda wa kuwa na familia

Atakuwa ameolewa na bila shaka jina Datoo ni la mume wake. Her birth name is Sakina Dewji, ni tumbo moja na Kassim Dewji
 
Back
Top Bottom