msemakwelii
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 216
- 47
[h=2]
Wabunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Iringa, Ritta Kabati (kushoto) na Lediana Mafuru Mng'ong'o wakiteta jambo. Picha ya fullshangweblog.com
Wajumbe wenzangu,
Asalaam Alaykum!
Mwenzenu mimi nina hoja, inahitaji majibu. Wakati mwingine siye tuliozaliwa enzi za ujamaa tuna matatizo, tunapenda kuhoji kila jambo ambalo tunadhani linahitaji kujiridhisha ndipo tukubaliane nalo, badala ya kutafuniwa na kumeza kama makinda ya ndege.
Hoja yangu ya leo ni hii;
Suala la wawakilishi wetu (madiwani na wabunge) kughushi/kudanganya umri limekuwa kashfa nyingine kubwa katika Awamu hii ya Nne. Mbaya zaidi ni pale wawakilishi wetu wanapodanganya mchana kweupe wakidhani siye, ambao tumezowea kuishi porini, hatuna uwezo wa kuhoji.
Leo ninahoji ukweli hasa wa CV ya Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, Ritta Enesper Kabati (43), ambayo nimeichungulia na kuona inatia mashaka kidogo.
Kwamba alizaliwa mwaka 1969 (Siku ya Krismas) sina neno kabisa, lakini kusema aliingia darasa la kwanza (Shule ya Msingi Shabaha/Sabasaba) mjini Iringa mwaka 1973 na kusoma kwa miaka nane, ndiyo hoja yangu kubwa kabisa.
Kwa ninavyotambua mimi, iwe wakati ule ama wakati huu, hakuna mtoto anayeweza kuanza darasa la kwanza akiwa na miaka minne, kama inavyoelezwa kwenye CV ya mheshimiwa huyu.
Kusema kwamba aliutumia mwaka mmoja kuwa nursery (chekechea) siyo kweli kwa sababu wakati ule tunakwenda kwenye vijiji vya ujamaa wengi walikuwa wakapelekwa shule wakubwa. Zaidi enzi zile za kupima mkono kichwani hadi uguse sikio la pili, hakika siwezi kuamini kama kuna yeyote aliyekwenda shule ya msingi, katika miaka ya 1970, akiwa na umri wa chini ya miaka saba. Hata kama alizaliwa pale Kihesa, haiwezi kuhalalisha kwamba alikuwa na uwezo wa kuingia darasa la kwanza akiwa na miaka minne. Kwamba alimaliza shule na kurudia darasa ni suala jingine ambalo sitaki kulijadili, kwa sababu wengi wa wakati ule walikuwa wakirudia ili waweze kufaulu na kwenda sekondari. Hoja yangu ni moja tu: Aliwezaje kuanza darasa la kwanza akiwa na miaka minne? Ama alirudisha nyuma mwaka wa kuzaliwa akashindwa kupiga hesabu vizuri kama akina siye tunaweza kuhoji?
CV yake kamili inapatikana kwenye mtandao wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, hii hapa chini. Hebu itazameni na tusemezane:
First Name: Ritta
Middle Name: Enesper
Last Name: Kabati
Member Type: Special Seat
Political Party: CCM
Constituency: No Constituency
Postal Address: Box 10678, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 754 281188 begin_of_the_skype_highlighting
+255 754 281188 FREE end_of_the_skype_highlighting
Mobile: Extension Office Fax Office
Email: [email]rkabati@parliament.go.tz[/EMAIL]
Start Date: 8 November 2010
End Date: 8 November 2015
Birth date: 25 December 1969
Place of birth: Kihesa, Iringa
District of birth-
Region of birth-
Gender: Female
Race: African
Citizenship: Tanzanian
Marital status: Married
Political Experiences
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]Expirience Type:
[/TD]
[TD]From
[/TD]
[TD]To
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 200"]Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD]Secretary /Councilor
[/TD]
[TD]POLITICAL
[/TD]
[TD]2007
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 200"]Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD]Member - Regional Political Committee
[/TD]
[TD]POLITICAL
[/TD]
[TD]2007
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 200"]Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD]Chairperson (Wekeza SACCOS)
[/TD]
[TD]POLITICAL
[/TD]
[TD]2006
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 200"]Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD]Councilor
[/TD]
[TD]POLITICAL
[/TD]
[TD]2005
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Work Experiences
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Company/Organization
[/TD]
[TD]Position
[/TD]
[TD]From
[/TD]
[TD]To
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 200"]The Parliament of Tanzania
[/TD]
[TD]Member - Special Seat
[/TD]
[TD]2010
[/TD]
[TD]2015
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 200"]WEKEZA SACCOS
[/TD]
[TD]Chairperson
[/TD]
[TD]2006
[/TD]
[TD]2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 200"]Riks Ent. Ltd
[/TD]
[TD]Director General
[/TD]
[TD]2001
[/TD]
[TD]2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 200"]Hope and Joy Nursery School
[/TD]
[TD]Director General
[/TD]
[TD]2001
[/TD]
[TD]2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 200"]Majembe Auction Mat
[/TD]
[TD]Assistant Director
[/TD]
[TD]1987
[/TD]
[TD]2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 200"]National Bank of Commerce, NBC
[/TD]
[TD]Typist
[/TD]
[TD]1986
[/TD]
[TD]1988
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Education
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Location
[/TD]
[TD]Course/Degree/Award
[/TD]
[TD]Start Date
[/TD]
[TD]End Date
[/TD]
[TD]Level
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI)
[/TD]
[TD]Leadership Skills Development
[/TD]
[TD]2006
[/TD]
[TD]2006
[/TD]
[TD]CERTIFICATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Guru Ghasidas Central University
[/TD]
[TD]B.Com.
[/TD]
[TD]2005
[/TD]
[TD]2010
[/TD]
[TD]GRADUATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar Es Salaam (Computer Centre)
[/TD]
[TD]Computer
[/TD]
[TD]2003
[/TD]
[TD]2003
[/TD]
[TD]CERTIFICATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Equtor Training Institute
[/TD]
[TD]Diploma (Business Administration)
[/TD]
[TD]2001
[/TD]
[TD]2002
[/TD]
[TD]DIPLOMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]NBC Bankers Training Institute
[/TD]
[TD]Bankers Course
[/TD]
[TD]1986
[/TD]
[TD]1987
[/TD]
[TD]CERTIFICATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lugalo Secondary School
[/TD]
[TD]O-Level Education
[/TD]
[TD]1981
[/TD]
[TD]1984
[/TD]
[TD]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shabaha/Sabasaba Primary School
[/TD]
[TD]Primary Education
[/TD]
[TD]1973
[/TD]
[TD]1980
[/TD]
[TD]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Appointment
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Committee Name:
[/TD]
[TD]Position
[/TD]
[TD]Effective Date:
[/TD]
[TD]End Date:
[/TD]
[TD]Term Code:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Infrastructure
[/TD]
[TD]MEMBER
[/TD]
[TD="width: 100"]9/2/2011
[/TD]
[TD="width: 100"]30/8/2015
[/TD]
[TD]2010-2015
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hizi ni fikra zangu binafsi, siyo za Mwenyekiti wala za Mjengwablog. Mwenye hoja yeyote anaweza kuwasiliana nami hata kwa simu 0655-220404 au mbega.daniel@gmail.com. Nakaribisha maoni, au hata mwenyewe anaweza kuniuma sikio, vinginevyo Watanzania tungependa kuweka mambo hadharani.
Nawasilisha,
Mjumbe mwenzenu,
Mbega Mnyama
[/h]