CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

Umemwona eeeh.
Wivu ulopindukia, awe std one au four, ni mbunge mheshimiwa, amefikia malengo yake na ameandika historia na kuvunja record ikiwa ni kweli. Mleta maada wewe ni nani jitokeze na cv yako ma umewafanyia nn watz? Tofauti na prof jay? Mnafiki tu wewe
 
Joseph Haule a.k.a Professor Jay (amezaliwa tar. 29 Desemba 1975) ni msanii wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Professor Jay. Katika Tanzania, Prof. Jay anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee waweze kusikiliza muziki wa Bongo Flava. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la Hard Blasters Crew ? Chemsha Bongo. Professor Jay anatokea kundi la Hard Blasters Crew. Kundi hili ni moja ya makundi yaliyofanya muziki huu ambao hujulikana kama ?muziki wa kizazi kipya? kukubaliwa na sehemu kubwa ya wa Tanzania.Maisha ya muzikiProfessor Jay alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya 90 hivi na alijiunga na kundi la ?Hard Blasters Crew?(HBC) mnamo mwaka 1994. Mwaka 1995 Jay na HBC walishinda kuwa kundi bora la Hip Hop nchini Tanzania. Jay na HBC walitoa albamu ya kwanza iitwayo ?Funaga Kazi? mwaka 2000 Albamu hiyo inaaminika kwamba ilileta mapinduzi makubwa sana ya muziki wa Hip Hop nchini Tanzania. Albamu hii yenye ujumbe mzito ina nyimbo kama ?Chemsha Bongo? na ?Mamsapu? ambazo zilichangia kufanya muziki wa ?Bongo Flava? kuwa wa kila rika na kupewa heshima. Kabla ya hapo muziki huu ulionekana kuwa ni muziki wa wahuni. Msanii BinafsiProfessor Jay aliamua kuwa msanii binafsi mnamo 2001 na muda mfupi baada ya hapo akatoa albamu yake ya kwanza iitwayo ?Machozi Jasho na Damu?. Albamu hii ilivuma haraka sana na kumfanya Prof. Jay kupata tuzo ya kuwa mtunzi bora wa Hip Hop nchini Tanzania kwa nyimbo yake ya ?Ndio Mzee? kutoka kwenye albamu hiyo. na ikifuatiwa na Nyimbo ya ?Piga Makofi na Bongo Dar es Salaam?Mwaka 2003 Alitoa albamu ya pili iitwayo ?Mapinduzi Halisi? ambayo nayo ilishinda tuzo ya Kili Music Awards kuwa albamu bora ya Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania kwa mwaka 2003. Albamu hii imebebanNyimbo kama ?Zali la Mentali?, ?Msinitenge,? na ?Promota Anabeep?Mwaka 2006 Januari alitoa albamu ya tatu iliyoitwa ?J.O.S.EP.P.H?. Jina la albamu hii lilitokana na nyimbo iliyotoka Mwanzo kabla ya Albamu kutoka. Nyimbo hii ilichaguliwa kuwa nyimbo bora ya Bongo Flava kwenye BBC na Radio One Awards.Mpya imewahi kuteuliwa kuwa ni albamu bora ya Hip Hop , Mtunzi bora wa nyimbo za Hip Hop, na Nyimbo bora ya Hip Hop ya mwaka kwenye Kili Music Awards. 2006. ?Nikusaidieje?. na Baadae Kisima Music Awards ya Kenya ilikuwa Nyimbo bora ya Hip Hop na Video bora ya Hip Hop kutoka nchini Tanzania. Tuzo Alizopata
  • 1 Kili Music Awards (2003)
  • 2 BBC, Radio One Awards (2006)
  • 3 Kili Music Awards (2006)
Muhtasari wa Albamu
  • 1 Aluta Continua ( 2007 ) Ipo Njiani Kutolewa
  • 2 J.O.S.E.P.H. ( 2006 )
  • 3 Mapinduzi Halisi ( 2003 )
  • 4 Machozi Jasho na Damu ( 2001 )
EducationStandard IVMy take: CHADEMA mmekula garasha. Sijui kama Prof Jay anajua hata kuandika au kutumia computer.
Acha kuelmaza akili yako.Hizo hoja ukipeleka ccm watakuona umeongea sana. Mwanangu wa vidudu, anafanya mengi sana ktk computer .Wewe matumizi ya computer unayoyaona kuwa wewe na wasomi wengine wanastahili kuringia ni yapi?Ninavyofahamu hata waliosoma degree kadhaa ktk computer bado hawajamaliza matumizi ya computer.
 
P jay bora aendelee kuimba lakini siasa hawezi sababu elimu yake ni sawa na darasa la saba kwa maisha ya siku hizi.Asifikiri kupata ubunge ni kazi ndogo,mwenzake MR SUGU kichwa kile.Asijidanganye sababu SUGU kapata ubunge basi na yeye atapata hizo ni day dreaming.Kaona muziki umemkataa anataka kukimbilia kwenye siasa aandike ameumia
ok tumekusikia .
 
Wamemponda sana, mmeweka cv za uongo na kweli, ila ukweli utabaki kuwa ukweli na uongo hujitenga maisha yote. Joseph Haule yulee tayari mbunge wa Mikumi.
 
Tunataka mtu atakae leta maendeleo jimbon kwake,,Benad membe mbona anaelimu Na nyazfa alifanya nini Lind?
 
Joseph Haule a.k.a Professor Jay (amezaliwa tar. 29 Desemba 1975) ni msanii wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Professor Jay. Katika Tanzania, Prof. Jay anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee waweze kusikiliza muziki wa Bongo Flava. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la Hard Blasters Crew ? Chemsha Bongo.

Professor Jay anatokea kundi la Hard Blasters Crew. Kundi hili ni moja ya makundi yaliyofanya muziki huu ambao hujulikana kama ?muziki wa kizazi kipya? kukubaliwa na sehemu kubwa ya wa Tanzania.

Maisha ya muziki
Professor Jay alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya 90 hivi na alijiunga na kundi la ?Hard Blasters Crew?(HBC) mnamo mwaka 1994. Mwaka 1995 Jay na HBC walishinda kuwa kundi bora la Hip Hop nchini Tanzania.

Jay na HBC walitoa albamu ya kwanza iitwayo ?Funaga Kazi? mwaka 2000 Albamu hiyo inaaminika kwamba ilileta mapinduzi makubwa sana ya muziki wa Hip Hop nchini Tanzania.

Albamu hii yenye ujumbe mzito ina nyimbo kama ?Chemsha Bongo? na ?Mamsapu? ambazo zilichangia kufanya muziki wa ?Bongo Flava? kuwa wa kila rika na kupewa heshima. Kabla ya hapo muziki huu ulionekana kuwa ni muziki wa wahuni.


Msanii Binafsi
Professor Jay aliamua kuwa msanii binafsi mnamo 2001 na muda mfupi baada ya hapo akatoa albamu yake ya kwanza iitwayo ?Machozi Jasho na Damu?. Albamu hii ilivuma haraka sana na kumfanya Prof. Jay kupata tuzo ya kuwa mtunzi bora wa Hip Hop nchini Tanzania kwa nyimbo yake ya ?Ndio Mzee? kutoka kwenye albamu hiyo. na ikifuatiwa na Nyimbo ya ?Piga Makofi na Bongo Dar es Salaam?

Mwaka 2003 Alitoa albamu ya pili iitwayo ?Mapinduzi Halisi? ambayo nayo ilishinda tuzo ya Kili Music Awards kuwa albamu bora ya Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania kwa mwaka 2003. Albamu hii imebebanNyimbo kama ?Zali la Mentali?, ?Msinitenge,? na ?Promota Anabeep?
Mwaka 2006 Januari alitoa albamu ya tatu iliyoitwa ?J.O.S.EP.P.H?. Jina la albamu hii lilitokana na nyimbo iliyotoka Mwanzo kabla ya Albamu kutoka. Nyimbo hii ilichaguliwa kuwa nyimbo bora ya Bongo Flava kwenye BBC na Radio One Awards.

Mpya imewahi kuteuliwa kuwa ni albamu bora ya Hip Hop , Mtunzi bora wa nyimbo za Hip Hop, na Nyimbo bora ya Hip Hop ya mwaka kwenye Kili Music Awards. 2006. ?Nikusaidieje?. na Baadae Kisima Music Awards ya Kenya ilikuwa Nyimbo bora ya Hip Hop na Video bora ya Hip Hop kutoka nchini Tanzania.

Tuzo Alizopata

  • 1 Kili Music Awards (2003)
  • 2 BBC, Radio One Awards (2006)
  • 3 Kili Music Awards (2006)

Muhtasari wa Albamu

  • 1 Aluta Continua ( 2007 ) Ipo Njiani Kutolewa
  • 2 J.O.S.E.P.H. ( 2006 )
  • 3 Mapinduzi Halisi ( 2003 )
  • 4 Machozi Jasho na Damu ( 2001 )

Education
Standard IV

My take:
CHADEMA mmekula garasha. Sijui kama Prof Jay anajua hata kuandika au kutumia computer.

Mbunge wa Rorya Lameck Airo kasoma mpaka darasa la ngapi?.Kapita tena mhula wa pili na husemi kwasababu yupo CCM.Acha wivu wakike.
 
Kasoma mbeya shule ya sekondari Lutengano,mpaka akapata mashairi ya maisha ya boarding noma,we uliyetoa cv naona unashida zako binafsi.
 
Mbunge wa sumbawanga Aeish elimu yake mbona ni shida tupu ila hamsemi hapa.na ni ccm hao hao wanao lilia kipengere cha kujua kusoma na kuandika kwa bosi ila dreva wake awe kafika kidato cha nne.akili ndogo zinawaza hvyo hvyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom