kumbe ni kichaa ana tatizo huyu
Minister for energy and minerals -JK akaingiza nchini IPTL inayoendelea kukwangua mpaka leo, akaingiza mkataba tata na kinyonyaji wa bulyankulu utawanyonya watanzania miaka 200 ijayo na kuacha mashimo bila barabara nzuri, maji, vyuo, zahanati nk..
Minister for foreing affairs and cooperation -hapo ndipo mikataba mingi mibovu ilipoingia inchini na sasa tunataaabika
Member of Parliament -waulize chalinze na bagamoyo walifaidika na nini harafu uwaulize watu wa karatu wamefaidika na nini?
wakati slaa anafichua mafisadi list of shame kama mbunge kikwete anawaficha na kuwalinda mafisadi kama rais ikiwa ni pamoja na kuwaombea kura kwa wananchi wachaguliwe.
wakati slaa anapigania malsahi bora kwa wafanyakazi kama mbunge kikwete kama Rais yupo teyari kuwaponda virungu wakiandamana kudai haki zao
wakati slaa anaongelea afya na elimu bora kwa maskini wa Tanzania kama mbunge kikwete anabagua aliyepata first class ndio adhaminiwe
wakati slaa anaongelea reli ya mwendo kasi ya kati kiwkete anaongelea viwanja vya ndege kila mkoa -
wakati slaa anaongelea katiba mpya -kikwete amekurupuka kuunda tume
tuwapime watu hawa kwa umakini wao na sio maisha binafsi manake kwa kufanya hivyo itakuwa ni kumtusi slaa kumlinganisha kimaadili na viongozi hawa walioshindwa kuongoza nchi.