Cv ya mkoa wa mara toka mtandaoni

Cv ya mkoa wa mara toka mtandaoni

Usisahau pia katika vyuo vikuu inaongoza kwa kutoa viongozi vyuo vikuu hususani marais na sababu ni uwazi msimamo na sio wanafiki ila wanaoleta mada kama hizi ni za kuwagawa watanzania kikabila kikanda tuache ndo kitu mwalimu Nyerere alichokitekeleza.
 
Pia Mkoa wa MARA ni maarufu kwa kilimo cha BHANGI.............
 
mara kweli mna kila kitu. kuna wanyama wengi sana nao kwa ukatili mmefanana nao kila siku vita vya wenyewe kwa wenyewe njooni kwetu uhayani tukawafunde
 
Back
Top Bottom