CV ya Mheshimiwa Waziri wa Afya anayesubiri kujiuzuru hivi karibuni

dr Kigwangara usichoke kupambana na magamba wenzio ingawa kidogo ktk hili umetutumua na kusema ukweri. hivi haya matahila magamba ni kweri hayana akili???? sababu mtu akizungumza ukweri wanaacha kujadili ajenda zao wanaanza kumjadili kwa nn kigwangara katetea fani yake, lkn aliye anzisha hyo mada inawezekana akawa ni Lukuvi coz yeye hana fani yoyote na elimu yake ya darasa la saba, hatakua anajiuliza ni lini na yeye ataweza kuwatetea wenzie? magamba ovyo sanaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Professor Maji Marefu
Doctor Remmy Ongala (RIP)
Doctor Mti Mkavu
Doctor Fone
Doctor Babu Samunge
Doctor .....................
endeleza bila kunishau mimi pia eeeeeeeeeeeeeeeh Doctor Eeka Mangi
 
Mmmmmmmm..... Wajameni, pamoja tutashinda. Ukweli ni kwamba madaktari ndio kada ambayo inayo nafasi ya kutoa hisia zao kwa njia hiyo na kusikilizwa. Wakifuatiwa na sekta ya Elimu. Sio kwamba kwingine kuko safi! Ila waanzie wapi manake watanyamazishwa kama vifaranga waliotelekezwa.
 
Usipomtaja Dr Golden Mpolee (anamalizia digrii ya chemical processing atafanya masters ya medicine na phd ya entomology), huo inakuwa ugomvi wa kiukoo!
Professor Maji Marefu
Doctor Remmy Ongala (RIP)
Doctor Mti Mkavu
Doctor Fone
Doctor Babu Samunge
Doctor .....................
endeleza bila kunishau mimi pia eeeeeeeeeeeeeeeh Doctor Eeka Mangi
 
Elimu aliyo nayo ni nzuri. Tatizo si kiongozi. Tatizo la kikwete anaendekeza urafiki na udini kwenye kazi. Huyu by all dimensions hafai hata akizungumza unaona kabisa. A leader should speak from his/her heart. Ni mwoga, hajiamini.
Kiongozi gani anaogopa ama hajiiamini kuongea na anaowaongoza?
Jamani hata niipewa leo hiyo wizara ningelikuwa nakayagia kwa raisi kumwambia awaagalie madaktari. Mbona magofuri alikuwa anaungana na maengineer kuwatetea alipokuwa ujenzi.
Tyaani huyu kikwete anateua watu wengi wasio na uwezo kwa sababu vigezo vyake ni vya ovyo.
Hata pinda muangalie. Hana hata quality 1 ya kuwa waziri mkuu. Pinda ana sifa moja very royal kwa aliyemteua. Kila kitu mpaka akaulize, tatizo anayemuuliza yuko icu. Jamani nchi yetu inaongozwa na matahira.
Sasa pinda kasema anafukuza madaktari na kuleta wanajeshi, imeshindikana. Sasa apige chini akalime sumbawanga.
Tumesoma science kwa mateso sasa tufanye kazi kwa mateso. No
isiwe kwa madaktari tu. Kila mtu adai haki yake uzalendo tuweke pembeni

Umeongea na Kunena Vyema!! Viongozi wa Aina ya Mponda Wako wengi ila Namtaja Mwenzake ambaye Ni Type Hiyo hiyo Huyu si Mwingine ila ni Waziri wa Uchukuzi " NUNDU" Same Type!! Duh Hasara kwa Taifa
 
Elimu aliyo nayo ni nzuri. Tatizo si kiongozi. Tatizo la kikwete anaendekeza urafiki na udini kwenye kazi. Huyu by all dimensions hafai hata akizungumza unaona kabisa. A leader should speak from his/her heart. Ni mwoga, hajiamini.
Kiongozi gani anaogopa ama hajiiamini kuongea na anaowaongoza?
Jamani hata niipewa leo hiyo wizara ningelikuwa nakayagia kwa raisi kumwambia awaagalie madaktari. Mbona magofuri alikuwa anaungana na maengineer kuwatetea alipokuwa ujenzi.
Tyaani huyu kikwete anateua watu wengi wasio na uwezo kwa sababu vigezo vyake ni vya ovyo.
Hata pinda muangalie. Hana hata quality 1 ya kuwa waziri mkuu. Pinda ana sifa moja very royal kwa aliyemteua. Kila kitu mpaka akaulize, tatizo anayemuuliza yuko icu. Jamani nchi yetu inaongozwa na matahira.
Sasa pinda kasema anafukuza madaktari na kuleta wanajeshi, imeshindikana. Sasa apige chini akalime sumbawanga.
Tumesoma science kwa mateso sasa tufanye kazi kwa mateso. No
isiwe kwa madaktari tu. Kila mtu adai haki yake uzalendo tuweke pembeni

Una maana wote tugeuke mamluki? Tukifuata ushauri wako ....... Watz watageuka kituko cha karne duniani!
 
Professor Maji Marefu
Doctor Remmy Ongala (RIP)
Doctor Mti Mkavu
Doctor Fone
Doctor Babu Samunge
Doctor .....................
endeleza bila kunishau mimi pia eeeeeeeeeeeeeeeh Doctor Eeka Mangi

Hahaha! Usimsahau na Docta Manyaunyau! Dah, bongo bana very funny
 
Uongozi siyo elimu, Dr. Hadj Mponda hana matatizo as far as I am concerned. Tatizo pale ni MRS. Blandina Nyoni, period!

Sema nimeshangaa na mpaka sasa bado najiuliza kwa nini serikali ilianza kumshughulikia mtu mmoja tu? 'Ulimboka' I think that was not fair...

Inaonyesha rais wenu sio msikivu anashindwaje kumlazimisha ajiuzuru kwa manufaa ya umma?
 
Tatizo hapa ni uzalendo hawa waganga wetu wamekubali kupokea pesa ndogo na kusaidia watanzania wenzao ili viongozi wetu wakiongozwa na mkuu wa nchi uzalendo umewashinda ,leo kuna watanzania wengi tu walioshindwa kuvumilia na kwenda ughaibuni kufanya kazi hiyo kwa pesa nyingi ila si wasifii kwani wameangalia zaidi ubinafsi kama hawa viongozi wetu

kwanza kabisa naomba kuwapongeza waganga ,wauguzi,wasaidizi na wengine wote waliokubali kubaki nchini kutuhudumia watanzania tusio viongozi kwani sasa inaanza kuzoeleka masikioni mwetu kuwa kiongozi akiugua hospitali yao india narudia tena india sasa hawa waganga wetu wakigoma hawa jamaa hawna wasiwasi wowote kwani wao india hawajagoma

pili mheshimiwa mkuu wa nchi ushauri wangu ni huu kwako hatutashanga hata kama utabadilisha baraza lako la mawaziri mara nne au tano mbona boris yestin alifanya hivyo tena kwa nchi iliyondelea kama urusi!!

Mheshimiwa kama hawafai wafukuze !!!!!! Hata ikibidi kwenye chama poa tu

mwenyenzi mungu ibariki tanzania
mwenyenzi mungu mbariki rais wetu jmk
mwenyenzi mungu wabariki waganga,wauguzi,wasaidizi wazalendo
mwenyenzi mungu wabariki watanzania wote wenye uzalendo na nchi yao
amin
 
Kwani na hawa ma clinical officer na ma Asissitant Medical officer AMO nao ni ma Doctor nao wamo kwenye mgomo?
 
Nchi yangu hiyooooo....inaelea.......maskini itazama mda si mrefuuu!!!!
 
Uongozi siyo elimu, Dr. Hadj Mponda hana matatizo as far as I am concerned. Tatizo pale ni MRS. Blandina Nyoni, period!

Sema nimeshangaa na mpaka sasa bado najiuliza kwa nini serikali ilianza kumshughulikia mtu mmoja tu? 'Ulimboka' I think that was not fair...

yaani wewe ni kigeugeu sijawahi kuona?we si ulikuwa wa kwanza kushabikia mgomo na kumponda waziri wewe sasa unasema hana tatizo...Ndo shida ya kubembeleza ubunge wako wa kupewa huo..ukitishwa kidogo tu unaabadili msimamo
 
Masters usomee Material Management alafu doctorate Public Health?

yaani hapo hata mimi sijaelewa yaani continuity ya fani haipo kabisa..in short jamaa mgeni wa kila kitu na alipewa uwaziri by default..usikute jk alijua u dr wake ni MD maana mvivu sana kusoma yule jamaaa
 
Professor Maji Marefu
Doctor Remmy Ongala (RIP)
Doctor Mti Mkavu
Doctor Fone
Doctor Babu Samunge
Doctor .....................
endeleza bila kunishau mimi pia eeeeeeeeeeeeeeeh Doctor Eeka Mangi

Kuna doctor wa SIMU anatibu huyo hata SAPNA hawafai, mwendelezo wa ma-Dr.

Dr. Mwesiga Metelephone wa Kariakoo Aggrey
 
Back
Top Bottom