CV ya KOVA!!

thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hakuna kitu kama hii jombaa
eti muadilifu hawa kuna siku kitanuka tuu
 
kovu ni nani tena?

Ni mzee mmoja aliyezaliwa miaka 50 iliyopita katika wilaya ya KONDOA mkoani DODOMA Nchini TANGANYIKA, kabila lake ni MRANGI. samahani kumbe mnataka CV yake mm nimekosea nikaanza kuelezea historia yake!
 
nimeona tarehe ya kujiunga JF mtetezi wa Kova ni 30 june 2012. kama upo sawa utaelewa .
 

nafikiri una ajenda ya siri Kova huwa tunamsikiliza sana na kauli zake zisizo sawa,kumbuka kauli aliyotoa kwenye TV walivyokamatwa Jerry Muro na wenzake yale maneno yake ya kuwahukumu yamefika wapi?ningekuwa mimi ningemshitaki,same to this issue ikijulikana jamaa hakuhusika atatwmbiaje? nani aendelee kumuamini na kauli zake zisizo na mashiko? huyu ni Policcm katika utendaji wake wa kazi.
 
kova form six kaionea wapi huyu? kama kaenda sana ni gumbalu , nahisi alisoma MEMMKWA, Elimu ya Msingi kwa walioikosa

Wewe usidharau ngumbalu, kuna mtu ninamfahamu amesoma ngumbalu na sasa ni dr wa phd na ni kijana mdogo sana. Elimu popote ndugu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…