1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,274 Reaction score 13,787 Nov 7, 2021 #81 Pablo Escobar au?!
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,232 Reaction score 40,734 Nov 7, 2021 #82 Shida ni mazingira aliyofanya kazi kuna full profesinalism, wakati huku hata robo hakuna.........
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,930 Nov 7, 2021 #83 Ahsante Kwa taarifa...
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,192 Reaction score 9,883 Nov 7, 2021 #84 Chukwu emeka said: Shida ni mazingira aliyofanya kazi kuna full profesinalism, wakati huku hata robo hakuna......... Click to expand... Ndio maana ukiangalia alikuwa hakai muda mrefu kqenye timu mpaka ananipa wasiwasi
Chukwu emeka said: Shida ni mazingira aliyofanya kazi kuna full profesinalism, wakati huku hata robo hakuna......... Click to expand... Ndio maana ukiangalia alikuwa hakai muda mrefu kqenye timu mpaka ananipa wasiwasi
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,232 Reaction score 40,734 Nov 7, 2021 #85 Kitimoto said: Ndio maana ukiangalia alikuwa hakai muda mrefu kqenye timu mpaka ananipa wasiwasi Click to expand... Huku Africa ndiyo mara ya kwanza anakuja, honestly kwa hawa kina Mkude, Ajibu na akili zao ambazo hawataki kupangiwa cha kufanya kazi ipo kwake hasa kwasababu ni mara ya kwanza huku dunia ya 3
Kitimoto said: Ndio maana ukiangalia alikuwa hakai muda mrefu kqenye timu mpaka ananipa wasiwasi Click to expand... Huku Africa ndiyo mara ya kwanza anakuja, honestly kwa hawa kina Mkude, Ajibu na akili zao ambazo hawataki kupangiwa cha kufanya kazi ipo kwake hasa kwasababu ni mara ya kwanza huku dunia ya 3
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,069 Reaction score 31,577 Nov 7, 2021 #86 ni mchumba wa barbra? sisi wananchi hatuangalii title Simba lazima tuichape tu
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,192 Reaction score 9,883 Nov 7, 2021 #87 jingalao said: ni mchumba wa barbra? sisi wananchi hatuangalii title Simba lazima tuichape tu Click to expand... Hamuwezi. Mpira wa simba na yanga uwa hautabiriki, Yanga anaqeza akawa vizuri lakini wakikutana anafungwa
jingalao said: ni mchumba wa barbra? sisi wananchi hatuangalii title Simba lazima tuichape tu Click to expand... Hamuwezi. Mpira wa simba na yanga uwa hautabiriki, Yanga anaqeza akawa vizuri lakini wakikutana anafungwa
Feisal2020 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2018 Posts 1,334 Reaction score 3,421 Nov 7, 2021 #88 jingalao said: ni mchumba wa barbra? sisi wananchi hatuangalii title Simba lazima tuichape tu Click to expand... Hapana, ni mchumba wako na amesema hataki kukuchezea lazima akuweke ndani.
jingalao said: ni mchumba wa barbra? sisi wananchi hatuangalii title Simba lazima tuichape tu Click to expand... Hapana, ni mchumba wako na amesema hataki kukuchezea lazima akuweke ndani.