CV ya Issa Ponda

Status
Not open for further replies.
unaomba cv ya Ponda kwa kunukuu maneno ya Mufti!!!!! Tosheka na hiyo 'CV ya Ponda kwa mujibu wa mufti'
 
Kama nitakuwa nimekuelewa vizuri hapa unamaanisha kwamba kwenda shule ni mambo ya Makafiri na siyo Waislamu!! kwamba Waislamu hawapaswi kwenda shule? is it!?
 
Ummati uliohudhuria kwenye maandamano na mkutano wa leo mbele ya sheikh ponda ni jibu kwa huyo anaejiita mufti. Na hilo tamko la mufti ni tamko aliloandikiwa na maaskofu alisome nilimuona alivo akilisoma kwa kunesanesa.

Duh! Kweli kuna watu mko obsessed na maaskofu; yaani habari ya mufti na maaskofu wameingizwa??!!! Makubwa haya!
 
Kama nitakuwa nimekuelewa vizuri hapa unamaanisha kwamba kwenda shule ni mambo ya Makafiri na siyo Waislamu!! kwamba Waislamu hawapaswi kwenda shule? is it!?
yes sir!!! you are right 100%. Kwenda shule ni marufuku kwa ile dini ya ulalamishi na kama ukienda shule basi wewe ni kafir na unaenda kinyume na Muddy. Jamaa ndo alichokuwa anamaanisha hicho nadhani. Hata Muddy mwenyewe aliambiwa ''iqra!!'' yaani soma!!..................akajibu: nitasomaje mie, wakati wajua mimi sijui kuthoooma wala kuandika mwendhiooooooooo!!!!!!.......................................Hawa walalamishi wote unaowaona wanaandika andika hapa ni Makafir coz wanaenda kinyume na mafundisho ya Muddy ila Ponda ndo muislamu swaafi, hajui kusoma wala kuandika
 
hoja ungemuuliza babako mbona hufanani nae ?
.......................hapo ndo mwisho wa upeo wako wa kufikiria? au ndo mafundisho ya madrasat hayo? aha ha ha ha ha!!!. Jamaa anataka CV ya Ponda, baba ake kafuata nini tena hapa?
 
Hebu tafuta msalaba uuombe kisha ulale
bora kuabudu msalaba kuliko kuabudu mtu aliyekuwa anabandua vitoto vya miaka tisa, na aliyekuwa ana mizigo tisa, halafu alivyo mnafiki wengine wanatakiwa wawe na mizigo minne tu wakati anayeabudiwa alikuwa na mizigo tisa! Wakiulizwa inakuaje hapo utasikia oooh, alikuwa anawasaidia tu wajane, unawasaidia ndio uwabandue?
 
Kama nitakuwa nimekuelewa vizuri hapa unamaanisha kwamba kwenda shule ni mambo ya Makafiri na siyo Waislamu!! kwamba Waislamu hawapaswi kwenda shule? is it!?
Kuna post moja katika thread inayozungumzia mkutano wa kidongo chekundu inasema uislam unafundisha kila kitu juu ya maisha ya mwislam hivyo unajitoshereza.
 
Sheikh Mkuu, Mufti Shaaban Bin Simba anasema haya ambayo yanaweza kuingizwa ktk CV ya Sheikh Ponda:


Mwisho wa nikuu toka source: Home
 
Mnatokwa povu na shehe Ponda na huo ni mwanzo tu wagalatia mtatafuta pakujishika.Kangaike na CV ya wazazi wako huko au ya mbowe
 
Ummati uliohudhuria kwenye maandamano na mkutano wa leo mbele ya sheikh ponda ni jibu kwa huyo anaejiita mufti. Na hilo tamko la mufti ni tamko aliloandikiwa na maaskofu alisome nilimuona alivo akilisoma kwa kunesanesa.
Unamaanisha pia kuwa waandamanaji wana CV sawa na ya Ponda aka Alshaabab??
 
sidhani kuna umuhimu wa kuachia mjadala kama huu...pliz mod
hapa mtagusa imani za watu na kusababisha maafa makubwa.
mleta mada aliandika kichwa cha habari vizuri lakini katika kutafuta hiyo CV yenyewe ameweka maneno ambayo tayari yameonyesha kuelemea upande mmoja. Kuuliza CV huku tayari umeweka kiambatanishi sidhani kama utapata majibu sahii na msaada maana tayari ume wa upset waisilamu. Chamsingi uzi huu ufungwe.
 
karibuni kwenye uzinduzi wa Campus ya Tanga mjini ya Tumaini University mkishamaliza kugombana. Wali, pilau na tende zitakuwepo pia.
 

Ndugu yangu,nani kakwambia waislamu wanamuabudu Muhammad?Muhammad ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu kama alivyo Adam,Nuhu,Yesu,Ibrahim na wengineo.Pia hana hizo sifa za ubakaji unazodai,kuhusu kuoa wake tisa huo si ubakaji kuna hekima ndani yake,pia kwa mujibu wa uislam kama binti akivunja ungo na hakuna kinachomzuia kuolewa basi aolewe.Waislamu wanamuabudu Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa,hana anachofanana nacho katika ulimwengu huu na wala hana mshirika katika Uungu wake,ufalme wake wala katika Kuabudiwa.Kuhusu elimu waislamu tumeambiwa tusome kwa jina la Mola wetu aliyetuumba na Uislamu haubagui elimu na elimu ni zaidi ya kukaa darasani!
 
Ummati uliohudhuria kwenye maandamano na mkutano wa leo mbele ya sheikh ponda ni jibu kwa huyo anaejiita mufti. Na hilo tamko la mufti ni tamko aliloandikiwa na maaskofu alisome nilimuona alivo akilisoma kwa kunesanesa.

Hapa Maaskofu wala mnalosema mfumo Kristo hauhusiki. Umati ni matokea ya kuwa masikini wengi kimali na kiakili, ujinga ambayo ni magonjwa sugu hapa nchini na. Wananchi waache kufuate mikumbo Mungu sio na haungi mkono maandamano ya kihuni na jazba za kiwendawazimu labda kama kuna kamungu kengine feki
 

Je ni kweli kuwa Sheikh Ponda ni wa dhehebu la Wahabi?

Tumekusikia Bw. Luis Sendeu, msemaji wa Mufti wa Bakwata !

kama hadi linacheza karate msikitini litakuja kuwa gaidi hili.. Namsihi mufti kama huyo ponda hajasoma bakwata waandae ilmu ya UPE ili type hzo za ponda wapelekwe

Niwarudishe kwenye topic: Anayejua CV ya Ponda naomba atuwekee hapa.




Usiangaike ndugu yangu, Kwani ulishawahi kumsikia Mufti wa BAKWATA hata siku moja akitoa mawaidha au kuongelea suala lolote la Uislamu kama sheikh anaeijua dini yake. Hata watoto wake hawajui kuvaa Mavazi ya Kiisalmu.

Kwani ni nini elimu? Je ni njia ngapi zinazo mfanya mtu kua na elimu? . Hivi tuna mhukumu mtu kwa perfomance au kwa kumtaja tu huyo amesoma? Acheni URAFIKI wenu na huyo Mufti wenu. WHEN IT COMES TO MOVEMENTS, WE DONT DISCUSS PEOPLES PERSONALITIES. WE LOOK AT THE PERFOMANCE.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…