CV ya Balozi Wilson Masilingi

Sisi hatutaki mabishano au hoja tunataka moja nani kampiga risasi na kwa sababu zipi..Lissu aseme anaowahisi au vyombo vya dola viseme ni nani anahusika katika matukio ya kutisha kuanzia kutoweka kwa Ben, Azori, matukio ya mauaji ya kufungwa kwenye viroba,mauaji ya watoto n.k mambo ya kusubiri tukio lifutwe na tukio ndio matokeo yake haya watu wanaenda kulalamika nje ya nchi..sisi raia tunahitaji ULINZI na USALAMA
 
Haya wezi wa dhahabu waliiba kiaai gani na wamechikiliwa hatua gani mliambiwa KUNA Noah KWA kila Mtanzania viko wapi haya hero ya kibongo hamjapewa naona mwizi HAPA ni jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya wezi wa dhahabu waliiba kiaai gani na wamechikiliwa hatua gani mliambiwa KUNA Noah KWA kila Mtanzania viko wapi haya hero ya kibongo hamjapewa naona mwizi HAPA ni jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app


Amethubutu tumemheshimu kwa uthubutu wake na tafiti za kisanyansi zinaonesha umaarufu wake ni zaidi ya 97% kwa sasa. Tutegemee na kura zake uchaguzi 2020 panapo uzima zitakuwa katika %age hizo. Asijitokeze mtu kusema hakuambiwa sma kusikia.
 
moja ya vitu ya mapungufu niliyoyaona kwake katika VOA part 2 ni kuwa ubalozi kagewa kishikaji tu - huyu jamaa siyo diplomatic kabisa!!
Jamaaaa Masilingi yupo vizuri sana. Ingawa kwa majanga aliyoyapata Tundu Lisu. Kuitetea serikali inataka uwe na ujanja wa kuwasilisha ingawa Tundu Lisu ni Genious wa kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B
Jua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
Lisu anakoelekea hata yeye mwenyewe hana hakika kama atafika, anatamani kupewa ridhaa ya ugombeaji urais kwa ticket ya simpathy baada ya risasi....

Ila navyo mfahamu ikitokea akawa rais wa JMT atakuwa rais wa hovyo kuliko mtanguliza wake anaye tangazo dunia Ni wa ovyo. I in
 
 
Wakola mushaija.
 
Jua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.

Mashirika na kampuni za umma alizotuachia Mwl Nyerere zilifisiwa na kina nani? Ziliuzwa au kugawa bure kwa wawekezaji matapeli na kina nani? Si wale viongozi walioachiwa madaraka enzi za awamu ya tatu na nne? Tafuta majina yao!!!!!! Ndiyo maana Rais Dr Magufuli anakazi ngumu, kwa sababu waliohusika na uharibifu wa mali za taifa bado wapo makazini/maofisini!ni kama mbwa mwitu kwa sasa wamevaa ngozi ya kondooo!
 
Hilo swa Hilo swali la kwanini alipigwa risasi 16 lkn dreva yeye hakupigwa hata moja,.. Hili ni swali zuri wakiulizwa waliokuwa wamepewa kazi ya kumuua LISU.
Lkn jibu linaweza kuwa rahisi sana kwamba TARGET ya wauaji ilikuwa ni Lisu na siyo Dreva.
 
nikumbushe dada..
sikupata kuona interview yote, nimeona vipande vipande kulingna na eneo la jiografia ya kimtandao mahala nilipo..
Nilicheka sana ile interview. Eti lissu wewe ni mdogo angu, lissu alichomjibu aibu niliona mimi


Ifike mahali watu wamuache lissu kutafuta kuumbuka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena. Wasikilizaji wengi waliomo humu uwezo wao wakuelewa mdogo sana, hawawezi kujua unachokisema. Ukweli hata wazungu wenyewe watamdharau huyo Lisu wenu kwa kukosa busara
 

Anathubutu kurudisha angalau heshima flani serikalini na kupambana na hayo mapungufu. TL analipwa kumhujumu na kumchafua na mbaya zaidi kupanga uhaini. Kitaelewa tu lakini ni suala la majira na nyakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…