CV ya Balozi Wilson Masilingi

CV ya Balozi Wilson Masilingi

Midevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
274
Reaction score
437
Baada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.

Nilidhani pengine ni Kimalkia tu kinamsumbua huyu ndugu yetu, lakini nikagundua kuwa tatizo sio lugha kwani kwenye mahojiano mengine yaliyofanyika kwa kiswahili katika VOA Swahili, hali ni ile ile.
Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.

Haya yote yamenipa hamu ya kufahamu safari ya kiongozi wetu huyu na ni jinsi gani ameweza kufika katika nafasi kubwa kama hiyo pamoja na mapungufu hayo.

Hivyo basi, nawaomba wenye ufahamu juu ya elimu na uzoefu wa Balozi Wilson Masilingi atuhabarishe.

Anasema Nnyindojihadini:
Jua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.

Kutoka tovuti ya Ubalozi wa Tanzania Marekani:
Ambassador Wilson Mutagaywa Kajumula Masilingi before his appointment in August, 2015 as the United Republic of Tanzania’s Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary to the United States of America, was Ambassador to the Kingdom of the Netherlands from March 2013.

Before joining Diplomacy he served as a Member of Parliament from 1995 to 2010, as well, as Cabinet Minister in the President’s Office responsible for Good Governance from 1998-2005.

Before joining politics he served in the Judiciary Department as a Resident Magistrate and Resident Magistrate In-Charge (1984-1989). In 1990 he joined private legal practice (Advocate) in the High Court and Court of Appeal and got employed as Head of a Legal Division advising the National Environment Management Council (NEMC) until 1995. In October 1995 he was elected a Member of Parliament for Muleba South Constituency. He also served as a Member of the University of Dar es Salaam Governing Council from 1996-1998, representing the Parliament of Tanzania until when he was appointed a Cabinet Minister in the President’s Office responsible for Good Governance. He was also trusted by fellow Parliamentarians electing him the Chairman of the Parliamentary Standing Committee responsible for Foreign Affairs, Defence and Security (A Committee with a responsibility to exercise oversite functions to five Ministries, namely, Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation; Ministry of Internal Affairs; Ministry of Defence and National Service; and Ministry of East African Cooperation) until 2010.

Ambassador Masilingi is a graduate from the University of Dar es Salaam Law School and The George Washington University Law School where he obtained his Bachelor of Laws and Master of Laws Degrees in 1983 and 1995 respectively.
 
Angalia na saikolojia yake Kuna watu huwa sio waongeaji hivyo akikutana na muongeaji lzm apigwe chini hii hali ipo kimakundi fatilia sayansi ya saikolojia huyo balozi mnamuonea bure tu hawezi kushindana na lisu hasa kama hana taarifa za kutosha juu ya tukio la lisu
 
Wengi wameshindwa kuwa na moyo aliokuwa nao Masilingi. Kwenda kubishana na Lissu kwenye chombo cha habari cha kimataifa, tena ughaibuni, kwa lugha ya kingereza, mtangazaji na mgeni mwalikwa mwenzio wote wako dhidi yako. Yataka moyo
 
Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.

Nilidhani pengine ni Kimalkia tu kinamsumbua huyu ndugu yetu, lakini nikagundua kuwa tatizo sio lugha kwani kwenye mahojiano mengine yaliyofanyika kwa kiswahili katika VOA Swahili, hali ni ile ile.
Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.

Haya yote yamenipa hamu ya kufahamu safari ya kiongozi wetu huyu na ni jinsi gani ameweza kufika katika nafasi kubwa kama hiyo pamoja na mapungufu hayo.

Hivyo basi, nawaomba wenye ufahamu juu ya elimu na uzoefu wa Balozi Wilson Masilingi atuhabarishe.
moja ya vitu ya mapungufu niliyoyaona kwake katika VOA part 2 ni kuwa ubalozi kagewa kishikaji tu - huyu jamaa siyo diplomatic kabisa!!
 
Nilifuatilia ni kawa na shaka sana kuwa katika shule alizopitia hakuwai kuendesha,kuchangia na kusikiliza midahalo mbalimbali kujifunza jinsi ya kujipanga na kuanda data za kutosha pale unapokabiliwa na maswali yenye hoja nzito kama za lissu japo ni yakawaida ila kama balozi wa Tanzania to USA alitakiwa awe amejihanda kwa hili najua ni mzee na binafsi na muheshimu kam mzee na mtu mwenye elimu kubwa tu ila ushauri angetafuta njia nyingine ya darkness njee ya kisiasa kukwepa kujivua nguo na kuidhirisha dunia kuwa anayodai mh tundu antipus lissu ni huhakika usio na uwalakini
Ijumaa njema wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia na saikolojia yake Kuna watu huwa sio waongeaji hivyo akikutana na muongeaji lzm apigwe chini hii hali ipo kimakundi fatilia sayansi ya saikolojia huyo balozi mnamuonea bure tu hawezi kushindana na lisu hasa kama hana taarifa za kutosha juu ya tukio la lisu
sasa alienda kufanya nini si angeenda MUSIBA?
 
Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naomba ufunguke zaidi hapo kwenye ugenius wa sheria.
Nataka kujua haswa elimu na uzoefu wake.

Na pia hilo la kujaribu "kumtoa Lissu kwenye angle fulani" unadhani ni sustainable? Litamzuia Lissu asiendelee kuongelea angle hizo?
 
Angalia na saikolojia yake Kuna watu huwa sio waongeaji hivyo akikutana na muongeaji lzm apigwe chini hii hali ipo kimakundi fatilia sayansi ya saikolojia huyo balozi mnamuonea bure tu hawezi kushindana na lisu hasa kama hana taarifa za kutosha juu ya tukio la lisu
sasa alienda kufanya nini si angeenda MUSIBA?
msiba ni kituko

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha huwa anasema .mm co msemaji wa ccm wala serikali ni mwanachama wa kawaida tu na nimwanaharakati na mzalendo ! najiuliza mzalendo akiamua kuwa kama musiba itakuwaje?
 
Balozi anataka kutumbuliwa uyo wenzake wanaingia mitini yeye anajipeleka mbele lisu anadhani atamfurahisha jiwe, mtu ambaye anaweza kukaa na lisu na kumfurahisha jiwe ni mtu ambaye bongo lala ajui kureason yani mlopokaji mlopokaji mfano bashite na ndungai hao ndio wanaweza mfurahisha jiwe maana watatoka nje ya madam nakuanza matusi kejeli na kebehi sasa balozi msomi hawezi zaidi atatumbuliwa tu save the dat e miezi sita haipiti anatumbuliwa sababu kashindwa muattack lisu
 
Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Masilingi ana u genius gani bhana...!!!
 
Back
Top Bottom