CV ya Asumpta Mshama

kwani amefanyaje?
 
nadhani JK alimteua kwa sababu ni kada muaminifu aliyekiifia chama, hata ikibidi kutetea wezi kama alivyofanya kwenye escrow.

Kama mimi sijui h?ta kwa nn nimeingia huku halafu baada ya kukosa ubunge jk kampa u DC yule mkwere nikisema hamnazo sijui mtanielewa
 
Mkuu sababu gani za kiusalama?Si useme mume wake Mr.Mshama aliwahi kuwa dereva wa Nyerere na yeye kupitia mumewe alipata kazi ikulu kama muhudumu......au niendelee?

Si yaishe mkuuu
 
"....wakati baba yao nafikiri haishi naye kitambo"
hakuna ukweli hapo ni mke mwenye ndoa iliyohai kwa sababu za kiusalama hatuwezi kumtaja hapa.
unakumbuka SUGU alimlipua bungeni siku ile kuwa hawezi kueleza hadharani kwanini waliachana na mumewe?...wakati huo sugu alikuwa anajibu mapigo baada ya asumpta kumlipua sugu juu ya ugomvi wake na yule mchumba mvaa uchi....funguka basi ili kuondoa hiyo doubt kwasababu sugu alishamwaga ----- wengi tunaamini alichosema sugu.
 
Mkuu sababu gani za kiusalama?Si useme mume wake Mr.Mshama aliwahi kuwa dereva wa Nyerere na yeye kupitia mumewe alipata kazi ikulu kama muhudumu......au niendelee?

Endelea Mkuu, hayo ndio mambo tunayoyahitaji hebu tupia mawe hapa.
 
Wote naona mnahangaika tu. Mtu mwenyewe huyu hapa....
Kama huyu ndiye dereva wa Nyerere semeni................

Mkuu sababu gani za kiusalama?Si useme mume wake Mr.Mshama aliwahi kuwa dereva wa Nyerere na yeye kupitia mumewe alipata kazi ikulu kama muhudumu......au niendelee?
Mr.Mshama hakuwa dereva wa Nyerere bali Bodyguard wake.....
 
Mmm ninavyokumbuka Sugu alimfungukia Martha Mlata na sio Asumpta Mshama
nadhani JK alimteua kwa sababu ni kada muaminifu aliyekiifia chama, hata ikibidi kutetea wezi kama alivyofanya kwenye escrow.
 
Ana maji sana
 
Mama wa J sisters anaitwa Assumpter Mshama. Wewe unaemuongelea ni nani na unasema No big no?
 
Ulibisha ukiwa na uhakika ama hisia zilikutuma tu ubishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…