CV ya Asumpta Mshama

Usikanushe kitu usichokifahamu vyema kwani kuwa mchungaji kunamzuia kuwa mzazi? Wale ni watoto wake wa kuzaa mwenyewe
 
"....wakati baba yao nafikiri haishi naye kitambo"
hakuna ukweli hapo ni mke mwenye ndoa iliyohai kwa sababu za kiusalama hatuwezi kumtaja hapa.
 
Huyu alitegemewa sana kupata uwaziri wa maliasili
 
Kuwa mama hakukugurantee kutokuwa mchungaji. Binadamu ana madhaifu ila ni muhimu ujue hata kama una tatizo karibu kuligeuza tatizo lako kuwa fursa. Disability is an opportunity. Can't you think hey folk??
 
Mkuu sababu gani za kiusalama?Si useme mume wake Mr.Mshama aliwahi kuwa dereva wa Nyerere na yeye kupitia mumewe alipata kazi ikulu kama muhudumu......au niendelee?

Endeleaaaaaaaaaaa!
 
Mume wake mama huyu ni mtu wa heshima. Ni mkimya sana. Mama mwenyewe ni mtu wa heshima hata hivyo kutokana na msimamo wake kisiasa anachafuliwa tu.
 
Mkuu sababu gani za kiusalama?Si useme mume wake Mr.Mshama aliwahi kuwa dereva wa Nyerere na yeye kupitia mumewe alipata kazi ikulu kama muhudumu......au niendelee?

Ukweli nusu. Mshama hajawahi kuwa dereva wa Nyerere...ingawa ni kweli amewahi kuwa karibu na Nyerere. Mama Mshama hajawahi kuwa mhudumu...na hakupata kazi kwa sababu ya mumewe.
 
Ukweli nusu. Mshama hajawahi kuwa dereva wa Nyerere...ingawa ni kweli amewahi kuwa karibu na Nyerere. Mama Mshama hajawahi kuwa mhudumu...na hakupata kazi kwa sababu ya mumewe.
Kuhudumia Ikulu si uhudumu?
 
Galasha tu hilo; hata kama alisoma elimu yake haikumsaidia hata Robo!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…