MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Huyo mama mimi sitaki kabisa kumsikia, hapa nimeingia tu ili kuona CV yake
Kama mimi sijui h?ta kwa nn nimeingia huku halafu baada ya kukosa ubunge jk kampa u DC yule mkwere nikisema hamnazo sijui mtanielewa
Ni wazo zuri. Lakini ni vyema na haki na wewe uweke CV yako ili wana jamvi wakulinganishe na Mshama.Wakuu habari
Nilikuwa naangalia YouTube nikamuona huyu mama wakati anatoa michango yake bungeni, na hasa kwenye suala la escrow, kwa hiyo kutokana na michango yake hiyo nikaona ni vizuri nione CV yake ndiyo niendelee kuangalia au niache. Naomba mwenye CV ya huyu mama aiweke hapa.
Ni wazo zuri. Lakini ni vyema na haki na wewe uweke CV yako ili wana jamvi wakulinganishe na Mshama.
Ni wazo zuri. Lakini ni vyema na haki na wewe uweke CV yako ili wana jamvi wakulinganishe na Mshama.
Hahhahahahahahahah
Mkuu ni wewe nini:typing:
Mkuu msamehe bure
Ni wazo zuri. Lakini ni vyema na haki na wewe uweke CV yako ili wana jamvi wakulinganishe na Mshama.
Ni mama mwenye watoto wenye kipaji cha kuimba nyimbo za Injili wenye kikundi kiitwacho J-Sisters!
Ni mama mwenye watoto wenye kipaji cha kuimba nyimbo za Injili wenye kikundi kiitwacho J-Sisters!
Ni mhitimu wa darasa la saba, amefanya kazi za ndani kwa wahindi. baada ya dada yake aitwae Asumpta kufarikh, akatumia cheti chake cha shule ambacho kimemfikisha hapo alipo. alikua mbunge wa bunge la 10, kwa sasa ni DC baada ya kushindwa ubunge.
wale watoto ni watoto wake aliowazaa. yaani ukiangalia watoto wake ni tofauti kabisa na mama yao. watoto wazuriii, wanaimba vizurii, lakini mama yao ana vituko na anakera hata kusikiliza. j sisters ni watoto wake kabisa. nilishamsikia akihojiwa kwenye tv akieleza hivyo, na anasema amehangaika nao sana wale watoto hadi kufikia pale walipofikia...wakati baba yao nafikiri haishi naye kitambo.No, Big No.
Hawana uhusiano wowote na J-Sister family.
Huyo mama Ashunta Mshama niliwahi kumsikia bungeni akisema yeye ni Mchungaji wa kanisa fulani, ila kwa tabia zake sidhani kama kuna waamini wenye Imani ya kweli ambao wako tayari kuongozwa na mtu kama huyu.