tupia picha za mabinti wenye sura nzuri. Please, naelewa kuna viunga vingine katika urembo wa mwanamke, lakini uzi huu ni kwa ajili ya urembo wa usoni.
Beauty is a package though..
Yaani ni combination ya maeneo kadhaa ya mwili. Ndo sababu Ke anaweza kuwa siyo mzuri usoni, lakini kwa ujumla wa maeneo kadhaa mwilini akawa ni mrembo hasa.
Usijipatie mbuzi kwenye junia kwa kuangalia USO pekee