customer care

atamigwe

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
251
202
wakuu naombeni msaada wa kampuni zinazofanya maswala ya customer care kwa majina unayoyajua iwe kampuni za cm.hotel, popote pale naweza peleka maombi
 
Nenda erolink ukifika pale moroko chukua boda boda wakupeleke erolink

Nenda PCCI ipo pale moroko ukishavuka mataa tigo call centre ndo ipo peleka maombi

Hakikisha unajua mambo lakin hasa soft skills of handling customer maana product na system hutofautiana kutoka kampun moja kwenda nyingine
 
Back
Top Bottom