Yalinikuta ya hivyo nlipoingia katika moja ya ofisi za vodacom pale jengo ppf siku moja nikiwa mwanza! mmoja wao alipigiwa simu na mtu halafu akaamua kuizungusha ofisi nzima:
"chukua simu uongee na nanii!! akapewa simu yule dada kabla hata hajanisikiliza, akaanza, sijui fulani huyu(sikumbuki jina lililotajwa), eh mambo vipi? eeh kumbe umehamia dar?! utakuwa umependeza mwenyewe!!? wakapigiana simu, wakaongea waliyoongea huku mimi macho yamanitoka, walipomaliza ndo nikaambiwa, karibu kaka...
Ukiwaangalia unaona ni watu wazima, ila wanafanya mambo ya kitoto kabisa!