Customer Care wanakuwa na vigezo gani?

Customer Care wanakuwa na vigezo gani?

bunyua

Member
Joined
Dec 29, 2018
Posts
16
Reaction score
15
Ni vigezo gani vinatumika kuwaajiri wafanyakazi wa Customer Care kwenye makampuni ya simu?

Napenda sana hiyo kazi ila sijui elimu yake na vigezo vingine kama uzoefu wa kazi na kadhalika.
 
Ni vigezo gani vinatumika kuwaajiri wafanyakazi wa customer care kwenye makampuni ya simu napenda sana hiyo kazi ila cjui elimu yake na vigezo vingine kama uzoefu wa kazi nakadharika.
Form six leaver direct employment, on job training.
 
Ni vigezo gani vinatumika kuwaajiri wafanyakazi wa Customer Care kwenye makampuni ya simu?

Napenda sana hiyo kazi ila sijui elimu yake na vigezo vingine kama uzoefu wa kazi na kadhalika.
Ni vigezo gani vinatumika kuwaajiri wafanyakazi wa Customer Care kwenye makampuni ya simu?

Napenda sana hiyo kazi ila sijui elimu yake na vigezo vingine kama uzoefu wa kazi na kadhalika.
Know Your Customer(KYC)
 
Ni vigezo gani vinatumika kuwaajiri wafanyakazi wa Customer Care kwenye makampuni ya simu?

Napenda sana hiyo kazi ila sijui elimu yake na vigezo vingine kama uzoefu wa kazi na kadhalika.

Kigezo Kikuu ni Wewe kuwa ' Mbea ' na ' Mfitinishaji ' sana.
 
kama ni KE

jiandae kuliwa mwezi m1 wa kwanza tu kazini
 
Naomb tuelekezen kwa anayejua agent wanaopokea CV kwajili y kazi ya customer care
 
Back
Top Bottom