Customer care wa hii mitandao ya kibongo hovyo sana

mimi nilishawahi wapigia...walipopokea tu,nikaambiwa asante kwa kuchagua airtel na endelea kutumia airtel,halafu wakakata hapohapo..

kama nakuona ulivyobaki umeduwaa..
 
Mimi bwana nimekutana na mtandao wa tigo nimewapigia akapokea huyo muhusika akaniambia nisubiri nilimwambia pesa yangu nimeshindwa kuitoa akaniambia nisubiri baadae kidogo akaniambia kompyuta yake haisomi mtandao nikate nipige tena huenda mwenzake atakuwa na mtandao hiyo ni kweli kabisa hii mitandao ya kibongo inatuzingua sana.
 
kama unataka kuwasiliana nao hawa customer care inabidi uishushe roho yako...kama una hasira ziweke mbali kwa kuwa hawa jamaa ni pasua kichwa.

japokuwa wapo wachache sana ambao ukiongea nao unasikia kuwa wanajua wanachokifanya ila asilimia 80 ya ni kama hawajui wanachokifanya.

kwa kweli ukifikiria kuongea na customer care unaona bora usubiri hata siku mbili uende kwenye ofisi kuliko kuongea na hawa viumbe.

wengi wanaonekana kutokujua wanachokifanya.
wengine wanadharau sana.

kuna wale wanaoongea kama hawajapumzika wiki nzima..yaani wamechoka sanaa,wadai kuwa zile simu huwa zinarekodiwa...kama kweli hebu wahusika jaribuni kusikiliza hao watumishi wenu wanavyoongea na wateja wenu.

kuna siku niliambiwa na customer care eti nikate simu ili nikipiga tena niongee na mwingine kwa kuwa yeye hawezi kunisaidia..
mwingine aliniambia usikate simu mara akakata yeye..huku nikimsikia clear anavyobofya bofya.

CUSTOMER CARE JITAHIDINI KUWASAIDIA WATEJA..

Ukiambiwa kata upige tena haimaanishi hawezi kukusaidia, may be PC yake ina tatizo, ama ana tatizo la systema ktk PC aliyokaa. Usi-assume tu kuwa ni kwamba hawezi maana ni mpaka asome taarifa zako kwenye system ndo aweze kujua tatizo lako mkuu.
 
Kama system au pc ina tatizo kwa nini aendelee kupokea simu za wateja..kama hawezi kuwasaidia maana mpaka simu yako ipokelewe inachukua mpaka dk 15 -30 halafu unaambiwa kata simu upige tena..seriously!!!
 
Kwa PC tatizo linaweza kutokea anytime kama ku-stuck ama error flani inakuja so linaweza kukuanguakia ndo wakati umepiga, ama kama ni tatizo la system labda liko ktk process ya kurekebishwa so system imebuma kabisa you never know ndo ana-exit from the system, all are possible tusiwahukumu sana maana na wao kama binadam mambo mengine yako nje ya uwezo wao

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ila tukubaliane jambo moja...huduma za customer care kwenye hii mitandao yetu bado ziko chini sana..kwani hawa jamaa wana fb Page na twitter account..huko nako ni hivyo hivyo...wanakuomba namba yako then inabidi wewe uingie kwenye maombi ili miujiza itendeke tatizo lako lishughilikiwe..
Bora hiyo...kuna wale ambao unawauliza kuhusu huduma ambayo wao kampuni yao inatoa na wenyewe wanakuwa hawajui..
By the way hatuwahukumu sana ila kwa Gharama Wanazotutoza Kwenye hizi simu zetu tunastahili huduma bora zaidi za wateja..
 
Nje wanaowekwa customer care hasa hiziza mitandao ni wale wenye knowledge kiasi flani na information technology, swali ukiwauliza wanaweza kufanya reasoning, sasa bongo full kupachikana tu, anapewa introduction kdg anaingia mzigoni, nilipiga nawaulizia service flani akaniambia hata hawajawahi isikia, ikabidi nipige later jibu nlilopewa nlitakani kuhama nchi

customer care hajui maana ya call divert huyu alikuwa wa tigo
 
Wewe mteja ni boss wao,bila wewe hawana kazi,hivyo usiwatetemekee,mimi huwa nawachamba na kuwatukana mpaka wanakoma kuwepo hapo! nilishawahi kumtokea demu mmoja wa voda,alilewa na mistari yangu hadi akanitumia namba yake ya cmu,nilifanikisha kumgegeda mara 3 nikamtosa!
 
Ha ha haaaaa, kwa hiyo aliamua kutoa huduma kwa wateja hadi papuchi, we nouma sana asee.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wewe mteja ni boss wao,bila wewe hawana kazi,hivyo usiwatetemekee,mimi huwa nawachamba na kuwatukana mpaka wanakoma kuwepo hapo! nilishawahi kumtokea demu mmoja wa voda,alilewa na mistari yangu hadi akanitumia namba yake ya cmu,nilifanikisha kumgegeda mara 3 nikamtosa!

Kwani kugegeda dili siku hizi
 
Mimi bwana nimekutana na mtandao wa tigo nimewapigia akapokea huyo muhusika akaniambia nisubiri nilimwambia pesa yangu nimeshindwa kuitoa akaniambia nisubiri baadae kidogo akaniambia kompyuta yake haisomi mtandao nikate nipige tena huenda mwenzake atakuwa na mtandao hiyo ni kweli kabisa hii mitandao ya kibongo inatuzingua sana.

Mshahara wao laki mbili hapo mteja anyenyekewe for what purpose.
 
Wewe mteja ni boss wao,bila wewe hawana kazi,hivyo usiwatetemekee,mimi huwa nawachamba na kuwatukana mpaka wanakoma kuwepo hapo! nilishawahi kumtokea demu mmoja wa voda,alilewa na mistari yangu hadi akanitumia namba yake ya cmu,nilifanikisha kumgegeda mara 3 nikamtosa!

customer care ndio hii...papunchi inclusive
 
Back
Top Bottom