Inategemeana na simu, kuna custom rom ambazo zipo stable simu fulani nyengine hazipo.
Hizo ulizozitaja ni maarufu ila kuna moja umeiacha hapo ambayo ni omni rom, hii omni imetengenezwa na kina chainfire kama wewe ni mtumiaji wa custom rom nafkiri ushamuelewa huyu jamaa ni kichwa kiasi gani.
Omni ni kama cyanogen sababu hata chainfire alikua cyanogen kabla hajajitoa. ninachopenda kwenye omni over cyanogen ni uwezo wa kuweka 3g only na 2g only feature ambayo ilinifanya kuitoa cyanogen siku hiyo hiyo niliyoieka.