Custom rom gani ni nzuri

abdulay1993

JF-Expert Member
Jul 8, 2013
309
44
Kwa wale watundu wa mambo haya aka wajuzi wa android open source project....

Naomba tupeane uelewe juu ya ipi rom bora kwa Sim Kwan Kuna simu tayr manufacturers wamezitelekeza ila kwa kutumia custom still rocking.

1- cyanogemod.

2- paranoidandroid.

3-slimkat

4-aokp.

Nazijua izo ila ipi ni bora
 
Inategemeana na simu, kuna custom rom ambazo zipo stable simu fulani nyengine hazipo.

Hizo ulizozitaja ni maarufu ila kuna moja umeiacha hapo ambayo ni omni rom, hii omni imetengenezwa na kina chainfire kama wewe ni mtumiaji wa custom rom nafkiri ushamuelewa huyu jamaa ni kichwa kiasi gani.

Omni ni kama cyanogen sababu hata chainfire alikua cyanogen kabla hajajitoa. ninachopenda kwenye omni over cyanogen ni uwezo wa kuweka 3g only na 2g only feature ambayo ilinifanya kuitoa cyanogen siku hiyo hiyo niliyoieka.
 
Nahitaj hio kitu natumia samsung glx s ii.. Msaada wenu wakimaelezo pls

Kwa galaxy s2 tembelea xda developers website, galaxy sII android development. Kuna rom nzuri zaidi ya moja. Kuna za kitkat based on cm 11 na za jb. Kwa upande wangu zilizobase na jb hasa rom inaitwa YSF nilikuwa napata battery life nzuri. Inafanana na galaxy s5
 
Omni ni kama cyanogen sababu hata chainfire alikua cyanogen kabla hajajitoa. ninachopenda kwenye omni over cyanogen ni uwezo wa kuweka 3g only na 2g only

ila kaka now cyanogenmod una set 3G only kwa kutumia zile namba zao

then nikitaka kueka edge tena kama nataka kusave battery nianze tena kuhangaika na namba. wao kama developer wakubwa hawashindwi ku implement kitu kidogo kama hicho.

na hizo namba nafkiri ni za aosp zipo rom zote
 
ndio ila juz Kuna mjinga wao mmoja alisema wao wanatumia orignal code za Google ambazo 3G option only hamna ila nahis nexus 5 inayo koz nexus 4 yang haina

aosp ndio android original, kila rom inaanzia aosp hata android ya google imetokea aosp.

hawawez tumia android ya google sababu ili uitumie ina mashart yake na wao cyanogen hawafati shart hata moja. ndio maana ukidownload rom yao huwa haina google apps hadi uflash separate.

inshort custom rom zote ni ant-google hivyo hawawez ruhusiwa kutumia android ya google.

kama omni kaweza eka 3g only sidhani kama cyanogen watashindwa unless wawe wamebaki vilaza watupu.
 
Msaada Please Nilikuwa nataka ku update kwa kutumia hiyo CM11 coz simu yangu ilizinguaga nikaiflash sasa siwezi ku update kupitia ota.
Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya ku install hiyo custom rom , nimesha root tayari ,natumia LG optimus g pro/LG F240-S
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom