Currently in TZ , what is the average price for a professionally done website?

Just_Me

Member
Mar 12, 2019
23
22
Naomba kuuliza hili swali maana so far naona kila kampuni na kila freelancer ana bei zake kutokana na yye anavyojiona, naombeni wazoefu mnisaidie hapa, on average, typical price ya website nzuri, professionally done and maintained inakua ina range kwenye how much?
 
Mkuu ngoja nikae hapa karibu yako, wakifika wataalamu naamini mimi pia kuna kitu ntatoka nacho hakika kitakachonisaidia kutimiza moja ya malengo yangu mkuu. Bila kusahau nimekupa like hapo
 
Naomba kuuliza hili swali maana so far naona kila kampuni na kila freelancer ana bei zake kutokana na yye anavyojiona, naombeni wazoefu mnisaidie hapa, on average, typical price ya website nzuri, professionally done and maintained inakua ina range kwenye how much?
Static web au Dynamic web?
Web based app au?
 
Naomba kuuliza hili swali maana so far naona kila kampuni na kila freelancer ana bei zake kutokana na yye anavyojiona, naombeni wazoefu mnisaidie hapa, on average, typical price ya website nzuri, professionally done and maintained inakua ina range kwenye how much?
Hakuna bei ambayo ni standard, hii inatokana na sababu zifuatazo
1. Developer Standards: Kila developer ana standards zake za bei kulingana na mazingira anayofanyia kazi, vitu vinavyo define kazi yake, mfano security, SEO, responsiveness ya website, n.k
2. Requirements: Kuna developer anacharge kulingana na idadi ya mahitaji yako katika website, kwa hiyo mfano client anayekuja na requirements 10 charges zake zitakuwa tofauti na client atakayekuja na requirements 100
3. Aina ya website: Kuna developer anakucharge kwa kuzingatia aina ya website unayotaka kutengenezewa, mfano kuna static website, dynamic website, web based app (system) n.k
4. Interest ya Website: Kuna developer anakucharge kulingana na interest na maudhui ya website, mfano akigundua kuwa website yako ina uwezo wa kukuingizia million 100 kwa mwaka ni tofauti na website ambayo labda inahusisha masuala ya kijamii isiyoingiza mapato yoyote, hapa lazima kuwe na utofauti wa bei
5.Market competition: Kutokana na soko la IT kukua kwa kasi developer wanajikuta wanapanga bei ili kumvuta mteja, cha muhimu wewe client unatakiwa uwe na vigezo vyako (requirements) ambazo mwisho wa siku unatakiwa kuziona zinafanya kazi kama zinavyotakiwa kufanya kazi
NB: Maelezo niliyotoa hapa ni uzoefu wangu kama developer na jinsi ninavyowacharge wateja wangu, sio standard za developer wote, kila deveoper ana standard zake katika kumchaji client wake
 
Umemaliza
 
Dah.. Sasa hapo ndo napo changanyikiwa.. Sasa.. Mfano natengeneza business plan kwa ajili ya kampuni yangu.. Nitenge shilling ngapi kwa ajili ya company website?
Ivi hii ndo ilivyo dunia nzima au ni Tanzania tu?
 
Hii itakua ni Tanzania tu maana jinsi mfumo wa Tanzania ulivyo kitu hicho hicho kimoja wanauweza kuuziwa watu watatu lakini kila mmoja na bei yake i.e mwingine 100,000 mwingine 700,000 mwingine 350,000
 
Dah.. Sasa hapo ndo napo changanyikiwa.. Sasa.. Mfano natengeneza business plan kwa ajili ya kampuni yangu.. Nitenge shilling ngapi kwa ajili ya company website?
Ivi hii ndo ilivyo dunia nzima au ni Tanzania tu?
Nahisi ni kwa mazingira ya Tanzania tu, wenzetu huwa wanatoa zabuni (bid) na makampuni hujitokeza na kuandika proposal ya project yako (budget ya project nzima na scheduling yake), sasa hapo wewe ndo utaangalia hiyo tender umpe nani akufanyie na umezingatia vigezo gani kumpa. Japo sijui hiyo website ya kampuni yako ni website ya kawaid au ni web based system (app) budget yake kulingana na mazingira ya hapa Tanzania inaweza kuwa around 750K - 15M but inaweza kuwa chini ya hapo au juu ya hapo
 
Nilitaka nikufuate Ila nimeogopa namba za being zako
 
Naomba kuuliza hili swali maana so far naona kila kampuni na kila freelancer ana bei zake kutokana na yye anavyojiona, naombeni wazoefu mnisaidie hapa, on average, typical price ya website nzuri, professionally done and maintained inakua ina range kwenye how much?
Bei za Tanzania haziko standard kiivo
1. Static website - 350k ~ 750k
2. Dynamic website - 1M ~ 2M
 
Hakuna bei ambayo ni standard, hii inatokana na sababu zifuatazo
1. Developer Standards: Kila developer ana standards zake za bei kulingana na mazingira anayofanyia kazi, vitu vinavyo define kazi yake, mfano security, SEO, responsiveness ya website, n.k
2. Requirements: Kuna developer anacharge kulingana na idadi ya mahitaji yako katika website, kwa hiyo mfano client anayekuja na requirements 10 charges zake zitakuwa tofauti na client atakayekuja na requirements 100
3. Aina ya website: Kuna developer anakucharge kwa kuzingatia aina ya website unayotaka kutengenezewa, mfano kuna static website, dynamic website, web based app (system) n.k
4. Interest ya Website: Kuna developer anakucharge kulingana na interest na maudhui ya website, mfano akigundua kuwa website yako ina uwezo wa kukuingizia million 100 kwa mwaka ni tofauti na website ambayo labda inahusisha masuala ya kijamii isiyoingiza mapato yoyote, hapa lazima kuwe na utofauti wa bei
5.Market competition: Kutokana na soko la IT kukua kwa kasi developer wanajikuta wanapanga bei ili kumvuta mteja, cha muhimu wewe client unatakiwa uwe na vigezo vyako (requirements) ambazo mwisho wa siku unatakiwa kuziona zinafanya kazi kama zinavyotakiwa kufanya kazi
NB: Maelezo niliyotoa hapa ni uzoefu wangu kama developer na jinsi ninavyowacharge wateja wangu, sio standard za developer wote, kila deveoper ana standard zake katika kumchaji client wake
Nimekuelewa sana naomba uje DM
 
Back
Top Bottom