Hahahahhh sawa bhanaNilikuwa nasubiri uanze wewe kwanza kisha nami nizifumue
Hata mimi sijui chiefAbbroad, hiki si ni kipindi cha summer? Nchi gani hii yenye manyunyu?







Tuakula hewa saaaffiiiiDah nice view! Hiko kijani kinapendeza sana aisee, hope hata hewa ya eneo husika ni nzuri
Iringa moja comrade hiyoHii ni location ya wapi mkuu?