Sababu ni nying lakini as long as production base yetu iko poor/weak shilingi itapoteza thamani tu.
Uingizaji (importation) ya bidhaa ni kama kawa yaani hata vitunguu na machungwa!
Bureau de change zimejaa kuliko shule, hamna juhudi za kudhibiti foreign currency trade, kodi ya pango na manunuzi mbalimbali hata kulala hoteli ni dola ya mmarekani!
Tumeipa umaarufu wenyewe na mabo yametuzidi!
Nchi zote duniani wan trade na currency zao isipokuwa Bongo! basi na tulie tu labda ifanywe DEVALUATION