Curiosity Safely lands on Mars - NASA

Curiosity Safely lands on Mars - NASA

376697_448599718496247_1721874303_n.jpg
 
i،ve just seen first images on CNN, with zero error upto now it looks promising. Full sys testing is underway and could last up to 3weeks, then the real deal inaanza.
 
Lakini mimi nahisi hii sayari inasaport life ila inaweza kuwa ina"recover" kutokana na masahibu yaliyoikuta miaka millions iliyopita....its like world, baada ya kupigwa na meteor rock katika coast of Mexico millions years back....ilichukua miaka millions mingine kuweza kuruhusu sun lights, zenye virutubisho kufikia uso wa dunia.
Tusubili
 
Yeah, jamaa wako serious mkuu!! deal likinoga, wataanza kupaa kwenda kuishi huko! Lets wait and see
 
Lakini mimi nahisi hii sayari inasaport life ila inaweza kuwa ina"recover" kutokana na masahibu yaliyoikuta miaka millions iliyopita....its like world, baada ya kupigwa na meteor rock katika coast of Mexico millions years back....ilichukua miaka millions mingine kuweza kuruhusu sun lights, zenye virutubisho kufikia uso wa dunia.
Tusubili
Yeah, lets wait and see!! Hili dili likifanikiwa, utashangaa USA wataanza kujitangazia nchi yao nyingine!
 
COLD WAR bado inaendelea silently. Poster zao zote na headlines za newz wako strict, hawasemi 2 curiousity lands on mars but US Rover the most sophisticated rover lands on Mars duhh battle of the superpowers acha dunia ya 3 2angalie 2 inakuaje
 
Ni kweli tutaendelea kuwa wateja wa technology zinazozeeka!! Kwanza hawako tayari kuona tukitoka huku tuliko, na pengine viongozi wetu ndo kabisaa!
 
Back
Top Bottom