Kaka zomba utanivunjia TV yangu bure na uwezo wa kununua nyingine sina. nitakutolea copy nikutumie mkuu uangalie ukiwa kwako
CUF kamata mwizi.hahahahaha :evil:
Zomba kwani vipi, ina maana kati ya CUF na CCM wewe uko upande gani? LOL
kaka zomba Gahawa na Kashata bila kusahau Pilau na ndizi mbivu na Chachandu kwa wingi juice ya miwa isikosekaneNjoo basi na kopi tuangalie kwangu. Utapendelea nikutayarishie nini? bisi za siagi? Gahwa na kashata? au crisps za muhogo kwa ukwaju na pilipili? ooooh, jirani yangu wanauza bajia nzuri za kunde kwa chatni ya machicha ya nazi na pilipili kichaa, labda utapendelea hiyo?
Ku-deal na Waislam kama wewe na "Sheikh Ponda Mali Kifo chaja" is wastage of time! CDM wants to use every second effectively, not to waste any single minute like at Bubu-bu constituency!hivi kwanini CHADEMA hawakushiriki uchaguzi wa bububu, au kwa kuwa huko hakuna makanisa? jussa alisema kweli.
hivi kwanini CHADEMA
hawakushiriki uchaguzi wa bububu, au kwa kuwa huko hakuna makanisa?
jussa alisema kweli.