CUF yatangaza 'vita' kupigania eneo la kiuchumi bahari kuu

Jussa hana aibu kusema mambo ya waafrika, haya ndio masalia yaliyopona wakati wa Mapinduzi. Iddi Amini Dada alishawahi sema Hitler hakuwauwa wayahudi wa kutosha , ndio maana wanasumbua dunia. Na sisi tunasema Mapinduzi ya January 1964 hayakungo'a waarabu wa kutosha. Waliobaki ndio hawa wanaotusumbua kama Jussa. Kwa nini asiongelee kwao Oman ambako Marekani wamewaka nyambizi zao kule wanachezewa kama watoto wadogo anakomaa na mambo ya Waafrika. Ni vizuri kama tungekuwa tunasikia na sauti za Waafrika wa Unguja wasemaje,badaya kusikia huyo yellow Zanzibar alijifanya anatetea mali ya Wazanzibar huku akiwa na ajenda ya siri toka Oman.Toka lini Jussa umekuwa msemaji wa Zanzibar?. So long as eneo la bahari la Tanzania liko mpaka Mtwara, Tanga Mafia n.k litaongezwa tu. Call this statement xenophobic, whatever the names, but the message is... we know as Africans, the war to plune all those yellow who still sucks our God given resources is still on, the revolution is not over
 
jamani jusa yupo sahihi,hata mimi mtanganyika namuunga mkono 100%.lakini mi nawashauri wazanzibar wakatae muungano ili kila mmoja ale cha kwake tupumzike makero!
 
MY TAKENaona hii habari inahusiana na hii topic tunaona hapa mama Tibaijuka ameenda kuomba mile 150 za ziada hii itafanya mile 350 toka pwani ya Tanzania kuwa chini ya Mamlaka ya JMT! Natumai Jussa anaona haya! Na ningependa ajibu kitu humu ndani kama ana hoja za maana tumjibu[/FONT][/SIZE]
Inaonekana huijui zanzibar,sasa jiulize zanzibar ipo ndani ya tanganyika au tanganyika ipo ndani ya zanzibar nitakuekea ramani ya zanzibar 200 years ago toka taifa lako halijazaliwa la tanganyika.Zanzibar ina mipaka yake na tanganyika ina mipaka yake huwezi kujua mipaka hiyo ipo wapi hadi uwende shule,kwa maana hiyo rudi shule,am proud to be zanzibaria,sijui wewe ukivunjika muungano utajita nani, mtanzania, mmasai, mpare, au nani mkongo.
 
ismail-jusa-564x272.jpg

Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi mambo ya nje wa Chama cha CUF, Ismail Jussa Ladhu

Na Mwinyi Sadallah
23rd January 2012

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kwamba kitapinga Umoja wa Mataifa (UN) kuiongezea Tanzania mipaka ya eneo la kiuchumi la bahari Kuu kabla ya kupatikana muafaka kati ya Serikali ya Muungano na Zanzibar.

Tamko hilo limetolewa na Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi mambo ya nje wa Chama hicho, Ismail Jussa Ladhu, alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliyofanyika katika uwanja wa Gombani ya Kale huko kisiwani Pemba jana.

Alisema Serikali ya Muungano imefanya makosa kuandaa kupeleka maombi ya kutaka kuongezewa mipaka ya eneo tengefu la kiuchumi la bahari kuu (EEZ) bila ya kushirikisha Zanzibar.

Jussa alisema wananchi wa Zanzibar wapo tayari kupoteza maisha lakini hawatokubali eneo la bahari Kuu la Zanzibar kuongezwa na kuwa sehemu ya eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Wananchi wa Pemba simameni kidete kutetea maslahi ya Zanzibar hata kama tutamalizika sote haiwezekani eneo la bahari Kuu la Zanzibar kuwa la muungano,” alisema Jussa.

Alifafanua kuwa Januari 16 mwaka huu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, alitangaza mpango wa Tanzania kuomba UN kuiongezea maili 150 sawa na kilometa 241.5 kutoka usawa wa mwambao wa Tanzania.

Profesa Tibaijuka alisema kazi ya kukamilisha andiko hilo ilianza mwaka 2007 na kugharimu Sh. Bilioni 5.2 na kushilikisha wataalamu kutoka sekta ya mbalimbali, ili iweze kulifanyia utafiti zaidi kuhusu rasilimali zilizoko chini ya bahari kwa lengo la kuinua uchumi wa nchi.

Jussa alisema mpango huo umelenga kuiwezesha serikali ya Muungano kuongezewa eneo hilo ili kufanikisha mpango wake kufanya utafiti na uchimbaji wa mafuta wakati SMZ imekwishaliondoa kwenye orodha ya mambo ya muungano.

Hata hivyo, alisema mpango wa Tanzania kuongezewa eneo la maili 150 kutoka usawa wa bahari ya Hindi umefanyika bila ya kuishilikisha SMZ.

Jussa ambaye pia mwakilishi wa jimbo la Mji Mkongwe, alisema alipohoji suala hilo ndani ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) alitakiwa na serikali kuwa na subira na kutoa nafasi kwa serikali ya SMZ kulifuatilia.

Alisema suala la mafuta na gesi asilia tayari SMZ imeamua tangu mwaka 2009 kuliondoa katika orodha ya mambo ya muungano na haikuwa muafaka kwa serikali kupeleka maombi hayo bila ya kupata baraka ya Zanzibar.

“Wenzetu wanataka kuchimba mafuta na gesi asilia ya Zanzibar kwa kutumia mlango wa nyuma hatukubali kwa maslahi ya Zanzibar na nchi yetu,” alisema Jussa.

Kuhusu kufukuzwa kwa viongozi wanne wa CUF akiwemo Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohammed, alisema viongozi hao wamekwenda kinyume na misingi ya kuanzishwa kwa chama hicho mwaka 1992.

Alisema CUF ilianzishwa kwa madhumuni makubwa ya kupingania haki za Zanzibar na wananchi wake ikiwemo mfumo wa Muungano.

Jussa alisema katika kupingania haki za Zanzibar ndiyo maana wapo watu wamepoteza maisha na wengine kupata ulemavu wa kudumu ndiyo maana chama kimeamua kuwafukuza viongozi hao baada ya kwenda kinyume na misingi ya kuanzishwa kwake.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa haki za Binadamu na mahusiano ya umma Salim Biman, alisema kwamba viongozi waliyofukuzwa ndani ya CUF waliweka maslahi binafsi mbele badala ya maslahi ya chama na wanachama wake.

Awali akisoma risala ya mikoa miwili ya wanachama wa CUF Kisiwani Pemba, Ayoub Yussuf Mgeni, alisema wanachama wanaunga mkono maamuzi ya Baraza Kuu la Uongozi kwa kuwatimu viongozi hao.

Alisema viongozi hao ni wasaliti kutokana na kitendo chao cha kutetea maslahi binafsi na kuwapaka matope viongozi wa kitaifa kwa kutaka kuwagawanya kwa mtazamo wa Uunguja, Upemba na Utanzania Bara.

Alisema CUF kimefanya kazi kubwa kupingania misingi ya haki za binadamu na utawala bora hadi kufanikiwa kuundwa kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa Novemba mwaka 2010.

Alisema tangu kundwa kwa serikali hiyo kesi za kisiasa, ubaguzi na ukikwaji haki za binadamu umeondoka kwa wananchi wa Zanzibar.

Aliongeza kuwa hatua kama hizo zinapaswa kuendelea kuchukuliwa kwa mwanachama yoyote anayetaka kuvuruga umoja wa kitaifa kwa wananchi wa Zanzibar.

Mapema Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye pia Makamu wa kwanza wa Rais, alipokea maadamano ya amani ambayo yalinzia huko Machomanne kupitia Mkanjuni huku wanachama wakiwa wamebeba mabango ya kumshutumu Mbunge wa Wawi aliyevuliwa uanachama Hamad Rashid Mohammed.

Baadhi ya mabango yalisomeka ‘Tumekukuta Wawi na shuka kiunoni, tumekupeleka Dodoma na suti leo watusaliti’; ‘Tamaa imekuponza, siasa hukuweza rudi Wawi ukavue’ na lingine likisema ‘Hamad umepanda upepo utavuna dhuruba’

CHANZO: NIPASHE

poa jusa, tumeshatumia bilioni 5 zetu. Kama unaweza kurudisha hatutaenda UN, otherwise shut the f** off !
 
Ndugu wana-JF

Nimejaribu kuskiiza hotuba ya Bwana Jussa (MB wa jimbo la Mji Mkongwe-Visiwani) na katika yoote aliyosema nimegundua kuna mapungufu yafuatayo haswa kwenye swala la mafuta! Sheria za kimataifa zinasema pwani inakuwa mali ya nchi kavu mpaka nautical miles 200 sasa tujiulize ukichukulia Pemba ambayo inasemekana pwani yake ya Mashariki ina mkondo wa mafuta kama anavyodai, ipo katika umbali gani toka pwani? Hebu tufikirie katika mazingira yaa Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili, Je hivi visiwa viwili vya Unguja na Pemba, je haviko ndani ya 200 nm za pwani ya Tanganyika (yaani overlapping the Tanganyika territorial waters)?

Wakati mwingine wanasiasa wanapenda siasa za kutia ujinga ulio na hamasa na ushawishi kwa wananchi wakiwa wanajua fika kwamba kuna masuala yenye utata na majibu yake ni mazungumzo na makubaliano kupitia wataalam maana haya masuala si mageni katika ulimwengu huu na hayajaanza leo na hapa nchini mwetu pekee! Japokuwa huyu Mh amemtukana Mh Sitta (mwenye umri kama wa babake) ila ukweli unabaki palepale kama leo hii visiwa vinajitenga bado tutagawana (formula ikitengenezwa na wataalam ikizingatia pia ratio division ya resources inayotokana na vitu kama urefu wa pwani baina ya nchi zijazo mbili yaani Tanganyika na Zanzibar) na hivi visiwa mafuta yale yatakayogunduliwa iwe ya kikombe cha chai au cha kahawa ya muuza kashata au upawa wa muuza mafuta ya kupikia maana swala hili si rahisi namna ile kama linavyoelezwa na Bw Jussa bali ni suala zito na lenye kizungumkuti mkuu (a very contentious issue)! Namuomba Bwana Jussa apitie shared transboundary resources kama zile kati ya UK na Norway aone jinsi wataalam walivyokaa na kuandika formula ya kushiriki katika kula matunda ya mafuta yale! Asijidanganye ati yale ni mafuta ya Zanzibar (Waunguja na Wapemba) pekee bali yale ni mafuta ya hata Tanganyika (Wabara) maana visiwa hivi viwili vipo ndani ya nautical miles 200 zinazoongelewa na International laws of the Sea under special economic zones.

Namshauri huyu jamaa aache kuwatia ujinga ama ujuha ama sintofahamu Wazanzibari wenzie na zile siasa za "chao ni chetu ila chetu si chao" maana mwisho wa siku itikadi hizi za kiradikali zitaleta vurugu toka kwa Watu wa Zanzibar kwa kutotambua ukweli ni upi baada ya kujazwa upuuzi wa propaganda! Ni haya tu ningependa wana JF tujue na tuwe macho na siasa za chokochoko na zenye kuleta jazba, ushabiki na uzandiki usio na punje ya akili bali ujuha mtupu!

MY TAKE
Naona hii habari inahusiana na hii topic tunaona hapa mama Tibaijuka ameenda kuomba mile 150 za ziada hii itafanya mile 350 toka pwani ya Tanzania kuwa chini ya Mamlaka ya JMT! Natumai Jussa anaona haya! Na ningependa ajibu kitu humu ndani kama ana hoja za maana tumjibu

17th January 12
Tanzania kuwasilisha ombi UN kuongezewa eneo la bahari
Muhibu Said
Tanzania imetangaza kuwasilisha maombi Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), jijini New York, nchini Marekani, kudai umiliki wa eneo la ziada nje ya maili 200 za Ukanda wa Kiuchumi Baharini (EEZ) katika Bahari Kuu ya Hindi, ili iweze kulifanyia utafiti zaidi kuhusu rasilimali zilizoko chini ya bahari kwa lengo la kuinua uchumi wa nchi.

Kwa mujibu wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, rasilimali hizo ni pamoja na mafuta, gesi na madini.

Eneo hilo linatokana na ongezeko lingine tena maili 150 na hivyo kufanya jumla ya mpaka hadi maili 350, ambazo ni sawa na kilomita 560 kutoka kwenye ‘baseline’.

Waziri Tibaijuka alisema maombi hayo yanatarajiwa kupelekwa na jopo la wataalamu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar na wajumbe wawili kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, litaongozwa na Waziri Tibaijuka.

Alisema wanatarajia kuwasilisha andiko la utafiti wa kisayansi la kudai eneo hilo katika Shirika la UN Linaloshughilikia Mikataba Sheria za Baharini (UNCLOS) kesho na kwamba, baadaye Aprili, mwaka huu, watakwenda tena UN kutetea andiko hilo.

Alisema baada ya kutetea andiko hilo huko UN, Kamisheni ya Masuala ya Baharini itafanya uamuzi kuhusu maombi yao na kwamba, anaamini hatua waliyoifikia watafanikiwa.

Waziri Tibaijuka alisema kazi ya kukamilisha andiko hilo iliyoanza mwaka 2007 na kugharimu zaidi ya Sh. bilioni 5.2, imesimamiwa na wizara yake na tafiti zimefanyika kwa kutumia wataalamu kutoka sekta za ardhi, maji, mawasiliano, sayansi na teknolojia, sheria na wataalamu wa masuala ya baharini kutoka vyuo vikuu.

NIPASHE

Jussa anawaamsha wazanzibari hakuna ujinga hapa. Ndoto zenu hazitakuwa za kweli hata siku moja. Kuhusu Zanzibar na rasilimali zake wote wako pamoja. Wanasiasa wakishindwa mambo yatarudi kwa wananchi. Hapo tena Mungu anajua tataelekea wapi ...chonde chonde.
 
hivi kwanini hawajawashirikisha SMZ kwenye haya maamuzi?

Au ndio ule ubabe wa Tanganyika??
 
Inaonekana huijui zanzibar,sasa jiulize zanzibar ipo ndani ya tanganyika au tanganyika ipo ndani ya zanzibar nitakuekea ramani ya zanzibar 200 years ago toka taifa lako halijazaliwa la tanganyika.Zanzibar ina mipaka yake na tanganyika ina mipaka yake huwezi kujua mipaka hiyo ipo wapi hadi uwende shule,kwa maana hiyo rudi shule,am proud to be zanzibaria,sijui wewe ukivunjika muungano utajita nani, mtanzania, mmasai, mpare, au nani mkongo.

Mkuu katika form za uraia kuna swali linauliza ulizaliwa nchi gani na lingine linauliza baba/mama yako alizaliwa nchi gani. Basi watu wamekuwa na majibu tofauti kwenye hilo swali hasa wale ambao walizaliwa kabla ya 1964 ama wazazi wao walizaliwa kabla ya hapo. Utakuta mtu anajaza baba yake alizaliwa 1942 nchi anajaza Tanzania!! Mwingine baba yake alizaliwa 1942 nchi anajaza Tanganyika; kaaazi kweli kweli. Hivi huko Zenziberi hizi form mnazijazaje hasa pale kwenye nchi?
 
Mtu wa Zenj, maisha yote yuko Kigamboni anaishi kama ndo nyumbani, anaandika mesage BBC kuombea muungano uvunjike. Halafu ukishavunjika Kigamboni itakuwa Zanzibar? Tutumie vichwa vyetu kufikiria sio jazba.
 
semeni sana ila kwa mwenye akili anajua kuwa Jussa aichokizungumza ni msimamo wa zanzibari walio wengi nikiwemo mm bila ya kujali vyama tunaona hila na ujanja wa kaka mkubwa kila uchao Ndugu,mseme yote na kupiga kelele kwa hasira lkn mkae mkijua kwamba Zbr siyo nchi,mpaka UN watakapoitambua,hauna haki ya familia mpaka uwe member! Hamuwezizungumzia mipaka wakati hakuna taifa hata moja linalowatambua! Mpaka ss nyie ni wa TZ, TNYKA haipo kwa sasa, kwa ushauri tu, hamuwezi kamwe kutambulika kimataifa bila mjadala wa kutuomba,othewise mnajaza maji kwenye chujio! Mtuombe uhuru kwa utaratibu!
 
Ndugu wana-JF

Nimejaribu kuskiiza hotuba ya Bwana Jussa (MB wa jimbo la Mji Mkongwe-Visiwani) na katika yoote aliyosema nimegundua kuna mapungufu yafuatayo haswa kwenye swala la mafuta! Sheria za kimataifa zinasema pwani inakuwa mali ya nchi kavu mpaka nautical miles 200 sasa tujiulize ukichukulia Pemba ambayo inasemekana pwani yake ya Mashariki ina mkondo wa mafuta kama anavyodai, ipo katika umbali gani toka pwani? Hebu tufikirie katika mazingira yaa Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili, Je hivi visiwa viwili vya Unguja na Pemba, je haviko ndani ya 200 nm za pwani ya Tanganyika (yaani overlapping the Tanganyika territorial waters)?

Wakati mwingine wanasiasa wanapenda siasa za kutia ujinga ulio na hamasa na ushawishi kwa wananchi wakiwa wanajua fika kwamba kuna masuala yenye utata na majibu yake ni mazungumzo na makubaliano kupitia wataalam maana haya masuala si mageni katika ulimwengu huu na hayajaanza leo na hapa nchini mwetu pekee! Japokuwa huyu Mh amemtukana Mh Sitta (mwenye umri kama wa babake) ila ukweli unabaki palepale kama leo hii visiwa vinajitenga bado tutagawana (formula ikitengenezwa na wataalam ikizingatia pia ratio division ya resources inayotokana na vitu kama urefu wa pwani baina ya nchi zijazo mbili yaani Tanganyika na Zanzibar) na hivi visiwa mafuta yale yatakayogunduliwa iwe ya kikombe cha chai au cha kahawa ya muuza kashata au upawa wa muuza mafuta ya kupikia maana swala hili si rahisi namna ile kama linavyoelezwa na Bw Jussa bali ni suala zito na lenye kizungumkuti mkuu (a very contentious issue)! Namuomba Bwana Jussa apitie shared transboundary resources kama zile kati ya UK na Norway aone jinsi wataalam walivyokaa na kuandika formula ya kushiriki katika kula matunda ya mafuta yale! Asijidanganye ati yale ni mafuta ya Zanzibar (Waunguja na Wapemba) pekee bali yale ni mafuta ya hata Tanganyika (Wabara) maana visiwa hivi viwili vipo ndani ya nautical miles 200 zinazoongelewa na International laws of the Sea under special economic zones.

Namshauri huyu jamaa aache kuwatia ujinga ama ujuha ama sintofahamu Wazanzibari wenzie na zile siasa za "chao ni chetu ila chetu si chao" maana mwisho wa siku itikadi hizi za kiradikali zitaleta vurugu toka kwa Watu wa Zanzibar kwa kutotambua ukweli ni upi baada ya kujazwa upuuzi wa propaganda! Ni haya tu ningependa wana JF tujue na tuwe macho na siasa za chokochoko na zenye kuleta jazba, ushabiki na uzandiki usio na punje ya akili bali ujuha mtupu!

MY TAKE
Naona hii habari inahusiana na hii topic tunaona hapa mama Tibaijuka ameenda kuomba mile 150 za ziada hii itafanya mile 350 toka pwani ya Tanzania kuwa chini ya Mamlaka ya JMT! Natumai Jussa anaona haya! Na ningependa ajibu kitu humu ndani kama ana hoja za maana tumjibu

17th January 12
Tanzania kuwasilisha ombi UN kuongezewa eneo la bahari
Muhibu Said
Tanzania imetangaza kuwasilisha maombi Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), jijini New York, nchini Marekani, kudai umiliki wa eneo la ziada nje ya maili 200 za Ukanda wa Kiuchumi Baharini (EEZ) katika Bahari Kuu ya Hindi, ili iweze kulifanyia utafiti zaidi kuhusu rasilimali zilizoko chini ya bahari kwa lengo la kuinua uchumi wa nchi.

Kwa mujibu wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, rasilimali hizo ni pamoja na mafuta, gesi na madini.

Eneo hilo linatokana na ongezeko lingine tena maili 150 na hivyo kufanya jumla ya mpaka hadi maili 350, ambazo ni sawa na kilomita 560 kutoka kwenye ‘baseline’.

Waziri Tibaijuka alisema maombi hayo yanatarajiwa kupelekwa na jopo la wataalamu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar na wajumbe wawili kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, litaongozwa na Waziri Tibaijuka.

Alisema wanatarajia kuwasilisha andiko la utafiti wa kisayansi la kudai eneo hilo katika Shirika la UN Linaloshughilikia Mikataba Sheria za Baharini (UNCLOS) kesho na kwamba, baadaye Aprili, mwaka huu, watakwenda tena UN kutetea andiko hilo.

Alisema baada ya kutetea andiko hilo huko UN, Kamisheni ya Masuala ya Baharini itafanya uamuzi kuhusu maombi yao na kwamba, anaamini hatua waliyoifikia watafanikiwa.

Waziri Tibaijuka alisema kazi ya kukamilisha andiko hilo iliyoanza mwaka 2007 na kugharimu zaidi ya Sh. bilioni 5.2, imesimamiwa na wizara yake na tafiti zimefanyika kwa kutumia wataalamu kutoka sekta za ardhi, maji, mawasiliano, sayansi na teknolojia, sheria na wataalamu wa masuala ya baharini kutoka vyuo vikuu.

NIPASHE
Tanzania kuwasilisha ombi UN kuongezewa eneo la bahari

Nadhani hapo kwenye rwd panamfaa sana juha asonme na abadilike, ni case ya zamani sana lakini ndio inayotumia
 
Jusa kama mwanaume aje humu JF nikabiliane nae maana hizi siasa za ufyukunyuku ninazijua kuanzia tu ukiangalia vizuri wale woote wanashadadia siasa za namna yake hawana asili ya Zanzibar ila ya Ki-Asia na hata si Kiarabu! na ukimwangalia vizuri Jusa ni Mhindi sasa kama Wazanzibari Asili wanashindwa kuliona hilo itakula kwao! We Jusa njoo humu ndani ujibu hoja! Mtuachie Zanzibar yetu yenye amani...
 
Ndugu wana-JF

Nimejaribu kuskiiza hotuba ya Bwana Jussa (MB wa jimbo la Mji Mkongwe-Visiwani) na katika yoote aliyosema nimegundua kuna mapungufu yafuatayo haswa kwenye swala la mafuta! Sheria za kimataifa zinasema pwani inakuwa mali ya nchi kavu mpaka nautical miles 200 sasa tujiulize ukichukulia Pemba ambayo inasemekana pwani yake ya Mashariki ina mkondo wa mafuta kama anavyodai, ipo katika umbali gani toka pwani? Hebu tufikirie katika mazingira yaa Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili, Je hivi visiwa viwili vya Unguja na Pemba, je haviko ndani ya 200 nm za pwani ya Tanganyika (yaani overlapping the Tanganyika territorial waters)?

Wakati mwingine wanasiasa wanapenda siasa za kutia ujinga ulio na hamasa na ushawishi kwa wananchi wakiwa wanajua fika kwamba kuna masuala yenye utata na majibu yake ni mazungumzo na makubaliano kupitia wataalam maana haya masuala si mageni katika ulimwengu huu na hayajaanza leo na hapa nchini mwetu pekee! Japokuwa huyu Mh amemtukana Mh Sitta (mwenye umri kama wa babake) ila ukweli unabaki palepale kama leo hii visiwa vinajitenga bado tutagawana (formula ikitengenezwa na wataalam ikizingatia pia ratio division ya resources inayotokana na vitu kama urefu wa pwani baina ya nchi zijazo mbili yaani Tanganyika na Zanzibar) na hivi visiwa mafuta yale yatakayogunduliwa iwe ya kikombe cha chai au cha kahawa ya muuza kashata au upawa wa muuza mafuta ya kupikia maana swala hili si rahisi namna ile kama linavyoelezwa na Bw Jussa bali ni suala zito na lenye kizungumkuti mkuu (a very contentious issue)! Namuomba Bwana Jussa apitie shared transboundary resources kama zile kati ya UK na Norway aone jinsi wataalam walivyokaa na kuandika formula ya kushiriki katika kula matunda ya mafuta yale! Asijidanganye ati yale ni mafuta ya Zanzibar (Waunguja na Wapemba) pekee bali yale ni mafuta ya hata Tanganyika (Wabara) maana visiwa hivi viwili vipo ndani ya nautical miles 200 zinazoongelewa na International laws of the Sea under special economic zones.

Namshauri huyu jamaa aache kuwatia ujinga ama ujuha ama sintofahamu Wazanzibari wenzie na zile siasa za "chao ni chetu ila chetu si chao" maana mwisho wa siku itikadi hizi za kiradikali zitaleta vurugu toka kwa Watu wa Zanzibar kwa kutotambua ukweli ni upi baada ya kujazwa upuuzi wa propaganda! Ni haya tu ningependa wana JF tujue na tuwe macho na siasa za chokochoko na zenye kuleta jazba, ushabiki na uzandiki usio na punje ya akili bali ujuha mtupu!

MY TAKE
Naona hii habari inahusiana na hii topic tunaona hapa mama Tibaijuka ameenda kuomba mile 150 za ziada hii itafanya mile 350 toka pwani ya Tanzania kuwa chini ya Mamlaka ya JMT! Natumai Jussa anaona haya! Na ningependa ajibu kitu humu ndani kama ana hoja za maana tumjibu

17th January 12
Tanzania kuwasilisha ombi UN kuongezewa eneo la bahari
Muhibu Said
Tanzania imetangaza kuwasilisha maombi Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), jijini New York, nchini Marekani, kudai umiliki wa eneo la ziada nje ya maili 200 za Ukanda wa Kiuchumi Baharini (EEZ) katika Bahari Kuu ya Hindi, ili iweze kulifanyia utafiti zaidi kuhusu rasilimali zilizoko chini ya bahari kwa lengo la kuinua uchumi wa nchi.

Kwa mujibu wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, rasilimali hizo ni pamoja na mafuta, gesi na madini.

Eneo hilo linatokana na ongezeko lingine tena maili 150 na hivyo kufanya jumla ya mpaka hadi maili 350, ambazo ni sawa na kilomita 560 kutoka kwenye ‘baseline’.

Waziri Tibaijuka alisema maombi hayo yanatarajiwa kupelekwa na jopo la wataalamu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar na wajumbe wawili kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, litaongozwa na Waziri Tibaijuka.

Alisema wanatarajia kuwasilisha andiko la utafiti wa kisayansi la kudai eneo hilo katika Shirika la UN Linaloshughilikia Mikataba Sheria za Baharini (UNCLOS) kesho na kwamba, baadaye Aprili, mwaka huu, watakwenda tena UN kutetea andiko hilo.

Alisema baada ya kutetea andiko hilo huko UN, Kamisheni ya Masuala ya Baharini itafanya uamuzi kuhusu maombi yao na kwamba, anaamini hatua waliyoifikia watafanikiwa.

Waziri Tibaijuka alisema kazi ya kukamilisha andiko hilo iliyoanza mwaka 2007 na kugharimu zaidi ya Sh. bilioni 5.2, imesimamiwa na wizara yake na tafiti zimefanyika kwa kutumia wataalamu kutoka sekta za ardhi, maji, mawasiliano, sayansi na teknolojia, sheria na wataalamu wa masuala ya baharini kutoka vyuo vikuu.

NIPASHE
Tanzania kuwasilisha ombi UN kuongezewa eneo la bahari

Kwenye andiko lako kuna mapungufu makubwa sana na hilo linatokana na kusoma katiba ya upande mmoja wa muungano na sio zote mbili yaani ile ya Znz na ile ya JMTz. Kwani zote zinabainisha eneo la nchi hizi. Katiba ya Znz imejipambanua vilivyo kuhusu eneo lake.

Tuache hayo. Kumbuka kuwa Tanganyika na Znz zimeungana kimkataba na sio kikatiba. Na kwa mujibu wa katiba zote mbili zinabainisha wazi kuwa hakuna jambo la muungano linaloweza kujadiliwa na upande mmoja bila kuuhusisha upande mwingine wa muungano iwe kwa kuujadili au kuuridhia.

Kumbuka kuwa suala hili alijafikishwa BLW bali limepita kinyemela na kuwasilishwa UN pasi na BLW kupata taarifa.

Sasa tunajiuliza.
Je katika eneo hilo lililo ombwa Eneo la Znz litaongezeka kwa kiasi gani na la Tanganyika litaongezeka au kupungua kwa kiasi gani? kumbuka taarifa hizi ni lazima zibainishwe katika katiba zote mbili kuhusu eneo la kila nchi.

Vile vile kuna siri gani mpaka Znz hususan Baraza la wawakilishi (BLW) hawakushirikishwa? Pasi na shaka kuna namna hapo?

Hongera sana Jusa kuliona hilo na sasa nasikia Tibaijuka na wenzake wizarani wanatafutana kupeleka majibu barazani. kazeni buti mpaka kieleeke. lazima wajue kuwa Znz ni nchi kamili yenye eneo na mamlaka yake.

Wafahamu kuwa Muungano ni kama koti likikuchosha unalivua na kuliacha lakin eneo ni urithi na rasilimali ya nchi.
 
Tatizo la Jussa ni kukurupuka kwa kila jambo lakini pia viongozi wa serikali ya Muungano watumie uzoefu wa matukio ya nyuma kujifunza kuishirikisha znz kwenye agenda zinazogusa maslahi ya znz na faida zake kwa pande zote mbili. sina hakika kwa kiasi gani Prof Anna tibaijuka aliishirikisha znz hata kama eneo analoomba liko kwenye hifadhi ya kimataifa. hapa znz inaweza kutaka kufahamu kwamba je Muungano ukivunjika hili eneo jipya litagawiwa vipi kati ya pande mbili za Muungano.

Kumbuka kuwa Znz iliwahi kujiunga na nchi za OIC na Bunge likatengua sababu alikushirikishwa.

Sasa Tibaijuka kazi anayo. Laazima ajiuzuru kwa kupeleka jambo UN kinyemela pasi na kushirikisha Znz hususan wawakilishi wa wananchi.

Hongera sana Jusa. Laazima Prof Tibaijuka ajiuzuru kwa issue hii.

Inaonekana huijui zanzibar,sasa jiulize zanzibar ipo ndani ya tanganyika au tanganyika ipo ndani ya zanzibar nitakuekea ramani ya zanzibar 200 years ago toka taifa lako halijazaliwa la tanganyika.Zanzibar ina mipaka yake na tanganyika ina mipaka yake huwezi kujua mipaka hiyo ipo wapi hadi uwende shule,kwa maana hiyo rudi shule,am proud to be zanzibaria,sijui wewe ukivunjika muungano utajita nani, mtanzania, mmasai, mpare, au nani mkongo.

Kipindi hicho wewe (babu zako) walikuwa watumwa sio? Hata ramani za Mreno, Mjerumani na Muingereza zipo lakini serikali zao ziliondoka ikaja JMT ambayo ndo inatambulika sasa! Huko alipo Karume analia kwa uchungu kuona watu wanavyowarubuni Wanzanzibari kupitia siasa za chuki
 
Kumbuka kuwa Znz iliwahi kujiunga na nchi za OIC na Bunge likatengua sababu alikushirikishwa.

Sasa Tibaijuka kazi anayo. Laazima ajiuzuru kwa kupeleka jambo UN kinyemela pasi na kushirikisha Znz hususan wawakilishi wa wananchi.

Hongera sana Jusa. Laazima Prof Tibaijuka ajiuzuru kwa issue hii.

Zanzaibar haina uwezo wa kumfanya Tibaijuka ajiuzulu maana UN inatambulika JMT mpk mkiwa peke yenu ndo mnaweza kutoa malalamiko
 
Kwenye andiko lako kuna mapungufu makubwa sana na hilo linatokana na kusoma katiba ya upande mmoja wa muungano na sio zote mbili yaani ile ya Znz na ile ya JMTz. Kwani zote zinabainisha eneo la nchi hizi. Katiba ya Znz imejipambanua vilivyo kuhusu eneo lake.

Tuache hayo. Kumbuka kuwa Tanganyika na Znz zimeungana kimkataba na sio kikatiba. Na kwa mujibu wa katiba zote mbili zinabainisha wazi kuwa hakuna jambo la muungano linaloweza kujadiliwa na upande mmoja bila kuuhusisha upande mwingine wa muungano iwe kwa kuujadili au kuuridhia.

Kumbuka kuwa suala hili alijafikishwa BLW bali limepita kinyemela na kuwasilishwa UN pasi na BLW kupata taarifa.

Sasa tunajiuliza.
Je katika eneo hilo lililo ombwa Eneo la Znz litaongezeka kwa kiasi gani na la Tanganyika litaongezeka au kupungua kwa kiasi gani? kumbuka taarifa hizi ni lazima zibainishwe katika katiba zote mbili kuhusu eneo la kila nchi.

Vile vile kuna siri gani mpaka Znz hususan Baraza la wawakilishi (BLW) hawakushirikishwa? Pasi na shaka kuna namna hapo?

Hongera sana Jusa kuliona hilo na sasa nasikia Tibaijuka na wenzake wizarani wanatafutana kupeleka majibu barazani. kazeni buti mpaka kieleeke. lazima wajue kuwa Znz ni nchi kamili yenye eneo na mamlaka yake.

Wafahamu kuwa Muungano ni kama koti likikuchosha unalivua na kuliacha lakin eneo ni urithi na rasilimali ya nchi.

Kwani Shamhuna ni mTanganyika?
 
hamna eneo la Zanzibar limetoka wapi huyo sultan wa Oman katoka kwao kaja kujigawia eneo hakukuta wazawa (babu zangu) hapo Zanzibar? hata mkiwa nchi huru bado tuta-share hilo eneo mpaka mlangoni kwenu! kwa hiyo msijidanganye...
 
Back
Top Bottom