CUF yatangaza 'vita' kupigania eneo la kiuchumi bahari kuu

Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii;;apewe haki yake jamani katumwa na familia yake kule uarabuni
 
Wazee musipate tabu bure Mh. Jussa anatumwa ni Wazanzibari hususan wale wazee na vijana wa CCM ambao wanauchungu na nchi yao ya Zanzibar, kwa sasa Wazee/Vijana hawa chango za uzazi zimewauma na wameshathibitisha kweli kama wakifanya masihara nchi yao itaenda arijojo lakini kutokana na jinsi wazee na vijana hawa walivyo na Usuhuba sana na jamaa zao wa Kitanganyika wamefika mahali hawawezi kujitokeza hadharani kuitetea nchi yao na badala yake wameamua kulitumilia hili JEMBE, na ndio maana huwajawasikia viongozi wa CCM wakipiga kelele sababu wao ndio wanamtuma aseme hicho anachokisema. Kwa upande wa CUF wao wanauwelewa wajibu wao kwa nchi yao tangu siku kilipoasisiwa chama chao.

Wee kweli Mpemba,
Matamshi yako na lugha uitumiayo haiendani na lugha swahiih ya Kiswahili.
 
Acha uzembe wa kufikiri, Jussa atawasumbua wanzanzibari wenzie(probabaly ukiwemo na wewe),
Huku Tanganyika He is a tiny insect in the jungle..

Kweli Jussa anawanyima usingizi Magwanda wa tanganyika.

Kumbukeni katumwa na waZnz wote kutetea haki zao. Katumwa na waliomchagua wana Mji mkongwe, na vile vile wana CUF.

Mpaka kieleweke
 
Wee kweli Mpemba,
Matamshi yako na lugha uitumiayo haiendani na lugha swahiih ya Kiswahili.

Pamoja na mambo mengine lakini nimekuja hapa JF kukufundishen kiswahili fasaha pia, neno gani limekupiga chenga ili nikusaidie japo kwa kukupa mwongozo wa kukufahamisha ni kwenye Kamusi gani la kiswahili unaweza kulipata maana yake halisi hilo neno. Siku nyengine usijaribu kunicomment kuhusu ufahamu wa kiswahili wenzako watakucheka!
 
Wee kweli Mpemba,
Matamshi yako na lugha uitumiayo haiendani na lugha swahiih ya Kiswahili.

Na kama umeshindwa kupata neno nipe hata sentensi au malezo ambayo yamekupa utata kuyafahamu ili nikufahamishe. Nina 'A' ndani ya Advance level ya lugha hii tena sio ya kuchakachua
 
Kweli Jussa anawanyima usingizi Magwanda wa tanganyika.

Kumbukeni katumwa na waZnz wote kutetea haki zao. Katumwa na waliomchagua wana Mji mkongwe, na vile vile wana CUF.

Mpaka kieleweke
Michango ya Barubaru bwana, utadhani hana PhD!
 
Pamoja na mambo mengine lakini nimekuja hapa JF kukufundishen kiswahili fasaha pia, neno gani limekupiga chenga ili nikusaidie japo kwa kukupa mwongozo wa kukufahamisha ni kwenye Kamusi gani la kiswahili unaweza kulipata maana yake halisi hilo neno. Siku nyengine usijaribu kunicomment kuhusu ufahamu wa kiswahili wenzako watakucheka!
Hayo maneno kwenye rangi nyekundu umeyatoa kwenye kamusi gani?
 
Ni kijana sio mzeee
ni bilionea zanzibari na oman
ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa
ana miliki visima kama mia vya mafuta tanzania bara na visiwani
ana mijengo mikubwa oman nimesikia na uingereza
ni mmoja wa vijana waanzilishi wa chama cha cuf

huyu ni jusa ismail wa jusa

nani anamtuma,wananchi,wafanya biashara wenzake,alqaeda,matajiri wa oman au cuf???
Mkuu pamoja na kumpa sifa ambazo hana za ubilionea na kutumwa lakini kijana ni mwana siasa mjanja anyeona mbali kuliko unvyofikiri.

Jusa ana ndoto ya kuja kuwa rais wa Zanzibar(mark my word)
Jusa amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumbana na kumuweka sawa Maalim Seif kwenye himaya yake na amini usiamni anaandaliwa kuja kurithi mikoba ya Maalim Seif huko mbeleni, na hii ni moja ya sababu iliyo mfanya Hamadi Rashidi kujiona hana thamani ndani ya CUF ni kitendo cha Maalim Seif kuonyesha kumkubali sana Jusa kutoka Unguja na kuwadharau akina Hadai rashidi wenzake kutoka Pemba kiasi cha kumpa cheo kikubwa ambacho hakipo kikatiba
Maneno anayoyatoa ni mbinu ya kuwateka wazanzibar ili wamkubali, maana Zanzibar ili ukubalike vizuri ni lazima uonyeshae haupo tayari kupokea order toka Tz bara wala usiogope kuwakosoe viongozi wa Tz bara na ndio mchezo anaoucheza Jusa kwa sasa
J

Paulss said:

Paulss,

..ur 100% correct kuhusu Jussa.

..Hamad Rashid alikuwa pamoja na Seif walipofukuzwa serikalini na ktk chama.

..tena Hamad Rashid kwa maneno yake anadai kuna wakati Sokoine alitaka kum-promote kuwa Waziri wa mambo ya ndani. Yaani Hamad Rashid ilikuwa amtangulie hata Komandoo Salimini kushika wizara ya mambo ya ndani.

..hata baada ya kufukuzwa serikalini, Hamad Rashid anadai Cleopa Msuya[bosi wa HR wizara ya fedha] alikwenda moja kwa moja kwa Raisi Mwinyi kuona ni jinsi gani wanaweza kumuokoa Hamad Rashid. Hamad Rashid aliambiwa na Raisi Mwinyi achague kazi anayotaka lakini akakataa na kuamua kuendelea na harakati zake pamoja na Seif Sharrif Hamad.

..ukisikiliza maneno ya Hamad Rashid unaona kwamba anajutia kuungana na Seif Sharrif na kuishia kufukuzwa CUF ktk mazingira haya.

Hayo maneno kwenye rangi nyekundu umeyatoa kwenye kamusi gani?
Ukitoa neno 'kunicomment' ambalo lina kesi maalum (naweza kukufahamisha ukitaka), kwa hiyo yale maneno mengine hukuyafahamu ama hukuyaamini kama ni maneno ya Kiswahili fasaha?
 
Kweli Jussa anawanyima usingizi Magwanda wa tanganyika.

Kumbukeni katumwa na waZnz wote kutetea haki zao. Katumwa na waliomchagua wana Mji mkongwe, na vile vile wana CUF.

Mpaka kieleweke

Anawanyima usingizi waume zake Magamba not CDM....
 
Mkuu pamoja na kumpa sifa ambazo hana za ubilionea na kutumwa lakini kijana ni mwana siasa mjanja anyeona mbali kuliko unvyofikiri.

Jusa ana ndoto ya kuja kuwa rais wa Zanzibar(mark my word)
Jusa amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumbana na kumuweka sawa Maalim Seif kwenye himaya yake na amini usiamni anaandaliwa kuja kurithi mikoba ya Maalim Seif huko mbeleni, na hii ni moja ya sababu iliyo mfanya Hamadi Rashidi kujiona hana thamani ndani ya CUF ni kitendo cha Maalim Seif kuonyesha kumkubali sana Jusa kutoka Unguja na kuwadharau akina Hadai rashidi wenzake kutoka Pemba kiasi cha kumpa cheo kikubwa ambacho hakipo kikatiba
Maneno anayoyatoa ni mbinu ya kuwateka wazanzibar ili wamkubali, maana Zanzibar ili ukubalike vizuri ni lazima uonyeshae haupo tayari kupokea order toka Tz bara wala usiogope kuwakosoe viongozi wa Tz bara na ndio mchezo anaoucheza Jusa kwa sasa
J

Umeongea nini hapa! Fanya summary ya maelezo yako ili uweleweke vizuri.
 
Ni kijana sio mzeee
ni bilionea zanzibari na oman
ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa
ana miliki visima kama mia vya mafuta tanzania bara na visiwani
ana mijengo mikubwa oman nimesikia na uingereza
ni mmoja wa vijana waanzilishi wa chama cha cuf

huyu ni jusa ismail wa jusa

nani anamtuma,wananchi,wafanya biashara wenzake,alqaeda,matajiri wa oman au cuf???

Mmh!! hapo kwenye red umesema uongo jomba,....punguza kamba kidodo duh!
kisha mbona unampamba sana huyu kipofu jusa......hana ushawishi wala mvuto si bara tu hata znz alishawahi kusema uongo ndani ya baraza la uakilishi akabanwa na akashindwa kuthibitisha
 
Nadhani Jusa yuko sahihi pale anapowataka Wanzanzibari wajimegue Bara. Mimi naisubilia siku hiyo kwa hamu kubwa. Muungano huu hauna maana kabisa, kama serikali 3 haziwezekani wajiondoe tu.
 
Jusa sio bilionea wala hana huo utajiri unaousema wewe wa kumiliki visima vya mafuta karibu mia tanzania bara na visiwani ni Tanzania hii tunayoifahamu kuna Tanzania nyingine.
Sana sana Jusa anaonekana ni mtu asiye na mwelekeo na ambaye hana sera.

UNAMJUAA??AU KIHEREHERE TUU KAMA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA AS PER jk
 
Back
Top Bottom