CUF yarejea kwa kasi ya 4G

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
History inaweza kujirudia kwa chama cha wananchi CUF, Tafiti zinaonesha mabadiliko makubwa yameanza kuonekana baada Kutangazwa katibu Mkuu mpya Mohammed masoud.
IMG-20220612-WA0005.jpg
IMG-20220612-WA0050.jpg
 
CUF was formed and got higher up to the political apex, but later on messed up and eventually collapsed.

To get back to the glorious days it is the toughest job that CUF can't endure
 
Yaani,Amini usiamini,Kama vile ambavyo Maalimu Seif(a.k.a. Mzee wa SAWA SAWAA !) Hawezi kufufuka na kuishi Tena Hapa duniani,Kadhalika ndivyo ilivyo VIGUMU kwa CUF Kufufuka na kuwa Tena chama Cha upinzani chenye nguvu Kama enzi zile za Maalim.Ni mpaka Hawa WAZEE WAZEE waliokivuruga Hiki chama na wenyewe watakapokufa Kama Maalim.Halafu ndio damu Changa itakayobaki izichange upya karata za CUF.
 
Yaani unamaanisha mpaka Lipumba afe ndio CUF itafufuka?
 
Back
Top Bottom