Lazima Tuwe wakweli. Hivi wakija Watu millioni 2 tu kutoka Bara wakataka ardhi kweli tunayo ardhi hiyo. WaZanzibari wapo 1.2 million kuna matatizo ya kugombea ardhi
kwani lazima wapewe? Cha msingi katiba ya zanzibar imekosea kuendekeza huo ubaguzi wa wazi!Lazima Tuwe wakweli. Hivi wakija Watu millioni 2 tu kutoka Bara wakataka ardhi kweli tunayo ardhi hiyo. WaZanzibari wapo 1.2 million kuna matatizo ya kugombea ardhi
ninavyojua mimi ni kwamba wako Watanzania bara wengi tu wenye
kumiliki ardhi huko visiwani pamoja na makanisa ambayo ni ya bara;
au vp? Kiongozi anaemiliki hecta 500 Morogoro, 300 Bagamoyo, 250
Mbeya na bado anatamaa ya hect 400 Zanzibar ili azihodhi tu haiewzekani.
mkuu tanganyika kwanza!unajua huu ni upuuzi viongozi kufikiri.changu tule wote,chako ufiche.muungano gani huu.Mungu ibariki Tanganyika!
mkuu huu muungano ni wa kitapeli sana! Wazanzibar waachwe salama..ninavyojua mimi ni kwamba wako Watanzania bara wengi tu wenye
kumiliki ardhi huko visiwani pamoja na makanisa ambayo ni ya bara;
au vp? Kiongozi anaemiliki hecta 500 Morogoro, 300 Bagamoyo, 250
Mbeya na bado anatamaa ya hect 400 Zanzibar ili azihodhi tu haiewzekani.
wapemba wajiandae kuja kumiliki ardhi huko pemba na unguja! Tumechoka na huo unyanyasaji wenu kwa wabara walioko zanzibar!Hivi watanganyika mna matatizo ya ardhi mpaka mupewe na ardhi ya zanzibar?sie wenyewe haitutoshi kaeni huko kwenu tanganyika mulime,zanzbr kwanza.
Kwa kuwa suala la ardhi si la muungano basi hata Wazanzibari walioko bara wasiruhusiwe kumiliki ardhi bara. Wapemba waliojazana bara watambue kwamba wao ni wapangaji tu. Wakamiliki ardhi kwao na si bara!
Hapa nilipo kuna jirani yangu ambaye ni mzanzibar pure na anamiliki ardhi ya kutosha. Sasa huu uzi umenifungua macho kuwa kumbe ile ardhi inaweza kuwa yangu muda wowote,ni suala la muda tuuuu. Huyu jirani yangu alishawahi kumkatalia mtoto wangu wa mwanaume alipoenda kuchumbia kwake kwa kigezo cha kwamba suala la kuoleana si la muungano!!!!, kumbe hata ardhi nayo cyo suala la muungano!! Huyu jamaa atanikoma kwenye hili suala la ardhi lazima alikimbie jiji la sivyo akubali kijana wangu amuoe binti yake.