CUF yakanusha kadi kurudishwa!

CUF yakanusha kadi kurudishwa!

Naona unafurahia kweli ...aisee ..kwann?

Have U got a sixth sense or what?!! Coz Hiyo furaha unaiona hadi kwny maandishi(what a miracle?), but let Mi remind U one thing...kioo kikichafuka hupanguswa lakini kikipasuka Huwa replaced na kipya, unaweza ukaona Ni furaha kwa upeo wako na siwezi kukulaumu sana coz Ni wenye akili Kama zako ndio mmeifikisha CUF hapa ilipo Leo, kwa Ubinafsi wenu na "HOFU YA KUNYANG'ANYWA TONGE"
Inasikitisha na Ni majonzi makubwa sana kuona bado mnaamini mmesimamia kwenye upande ulio sahihi while it's wrong! Coz Still mko fooled na hizo Ruzuku mnazopata ambapo after the 2015 election haitokuwepo 2 2date extent, Itabaki kuwa good old memories only because of a small group of selfish leaders within the Party, Jitazameni upya labda mtajigundua mlipoteleza though kwa opinion yangu naamini somehow mmechelewa.
BUT ' better late than never'. Au sio?!!
 
Back
Top Bottom