CUF ya Lipumba wakiri kutuma watu kwenda katika Mkutano Vina Hotel

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
CUF ya Lipumba wamekiri vijana wao walivuruga mkutano uliosababishwa waandishi wa habari kupigwa, Hayo yamesemwa na Abdul Kambaya mmoja wa wanakambi wa upande huo.

Anasema walipigiwa simu na waandishi wa habari kuwa kuna mkutano unaendelea na wakasema hapana, ndipo waliwatuma vijana wao kwenye mkutano huo

Kabla hawajafanikiwa kuingia ndani wakaanza kupigiwa kelele za kuitwa wezi, kikao hicho kilikuwa haramu na vijana hao walikuwa ni walinzi wa CUF na sio watu wasiofahamika kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti

Amesema pia CUF imegawanyika pande mbili ila CUF yao ndio inaendesha chama kwa mujibu wa katiba na sheria chini ya Profesa Lipumba na CUF ya Maalim seif inayoendesha chama kwa kesi mahakamani
 
Sasa polisi wanasubiri nini kuwakamata kama wamekiri wenyewe. Au wanajua siyo walinzi ni wenzao?
 
Hahahahahahahahahahahahahahaaa\aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa huyu yuko Sawa kweli? Anaongea nini sasa, polisi kazi kwenu, wale walitumwa na Lupumba, na Bastola ni yao, Polisi tutaona mtaleta ripoti gani ya uchunguzi wakati mtu kasema wale ni vijana wao, walivamia kweli,
 
Mhhh hadi Bastola? Nadhani Lipumba anapokea amri kutoka CCM ... bado tunakumbukumbu nzuri sana ya yeye kukimbilia Rwanda chini ya bodigadi wa JK .... Watanzania si wajinga ...

CUF ya Lipumba wamekiri vijana wao walivuruga mkutano uliosababishwa waandishi wa habari kupigwa, Hayo yamesemwa na Abdul Kambaya mmoja wa wanakambi wa upande huo.

Anasema walipigiwa simu na waandishi wa habari kuwa kuna mkutano unaendelea na wakasema hapana, ndipo waliwatuma vijana wao kwenye mkutano huo
Kabla hawajafanikiwa kuingia ndani wakaanza kupigiwa kelele za kuitwa wezi, kikao hicho kilikuwa haramu na vijana hao walikuwa ni walinzi wa CUF na sio watu wasiofahamika kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti
Amesema pia CUF imegawanyika pande mbili ila CUF yao ndio inaendesha chama kwa mujibu wa katiba na sheria chini ya Profesa Lipumba na CUF ya Maalim seif inayoendesha chama kwa kesi mahakamani
 
Huyu Jamaa anatakiwa kuisaidia police haraka sana ...

Kwa nini wavalie kinija kama walikwenda kwa nia njema?
 
Harufu ya UGAIDI
 
Kumbe sio uwt...

Sasa mtatiro hakuwajua hawa au alitaka kujipatia umaarufu wa kijinga????
 
Back
Top Bottom