CUF waruhusiwa kuandamana?

kumbe cuf....inawanyima sana raha....chadema,sasa hapa ndio ccm hutumia chance inaleta propaganda vyama vya upinzani vimepoteza dira sasa wanagombana wenyewe kwa wenyewe......kwa mpango huu 2015 chadema na cuf msipo weka tofauti zenu pembeni 2015......ccm itatawala milele kwani nyinyi nyote mna mtaji wa watu

Cuf ni CCM B utasemaje chama cha upinzani?
 
Back
Top Bottom