Safi Sana CUF Kwa Ukomavu . Tumechoka na Kupewa Kanga na Kofia za Misisiem. Umoja ni Ushindi Viva UKAWA.
Ha ha ha ha Alinselema.....
jana nimejiandikisha tayari, nasubiri kuua maccm 25.10.2015
Demand imekuwa kubwa. Supplier wachache. Ila kama vp kunywa nzagamba , banana ., Tingisha. Kama upo dar nitafute mitaa ya Goba eneo linaitwa mtaa wa zambi.
Kwahiyo mgombea mwenza akiamia chadema cuf itanufaika na nini?
Sisi cuf atufanyi siasa kwa maslahi ya cuf tunafanya siasa kwa maslahi wananchi wa tanzania
Kuitoa ccm madarakani ni kazi sana, yaani baado kabsa labda mpaka baada ya miaka 30 ijayo, kwa sababu zifuatazo; hata nyinyi wapinzani ni mafisadi vilivile, waroho wa madaraka tena mnatamaa ya pesa, mnakasumba ni heri utawala wa ccm kuliko nyinyi, Lowasa alikuwa fisadi alipokuwa ccm leo hii mnataka aje kwenu mnamuona mkombozi! acheni kudanganya watu bhana
jana nimejiandikisha tayari, nasubiri kuua maccm 25.10.2015
Mpaka kieleweke...
Je umeamini sasa?Eeeh Mungu saidia hii iwe kweli...!
Kwa muda, wakishinda uchaguzi watakibadilisha hicho kipengele na Duni atarudi CUFImanaana Juma Duni (BABU) ndio atavaa gwanda kwa muda tu (kuwa mgombea mwenza) au moja kwa moja