AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,040
Vikao vya CUF vimemalizika na wamekubalia kuwa CUF watatoa mgembea mwenza na CHADEMA watoe mgombea urais.
Juma Duni ndie atakaye kuwa mgombea mwenza kupitia CUF. Kutokana na CHADEMA kutoa Mgombea urais sheria inasema pia mgombea mwenza atoke chama hicho hicho kinachotoa rais.
CUF wamekubali mgombea wao kujiunga na CHADEMA na kuwa mwanachama wa CHADEMA kwa muda ili aweze kuteuliwa kuwa mgembea mwenza kupitia chama hicho.
Mazungumzo baina ya Lowassa na CHADEMA bado yanaendelea