CUF Wajipanga kufanya uchochezi Mtwara kesho

Chama cha wananchi cuf kinapanga kufanya mikutano ya hadhara kesho Mtwara kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kutoa elimu kuhusu gesi. Haya yamesema na Naibu Katibu Mkuu Bara Julius Mtatiro kwenye account yake ya facebook. Mimi naona cuf wako nyuma ya mgogoro huu wakijitafutia umaarufu baada ya kupotea kwenye siasa za Tanzania kwa muda mrefu. Cuf wamewagawa wazanzibar na watanganyika kwa kutumia uamsho sasa wanatugawa watanganyika kwa gesi asilia. Vyombo vya ulinzi vinapaswa kuwa macho.

Sasa hamweleweki na nyie,Juzi hapa nimesikia kwamba CHADEMA ipo nyuma ya hili,leo tena CUF.Haya tuache lipi na tushike lipi? Acheni unafiki bwana,nakumbuka maneno ya dr slaa jana fb.
 
Wapeni elimu ila ni vema CUF ikaacha UCCMb ndio wataaminika.
 
Chama cha wananchi cuf kinapanga kufanya mikutano ya hadhara kesho Mtwara kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kutoa elimu kuhusu gesi. Haya yamesema na Naibu Katibu Mkuu Bara Julius Mtatiro kwenye account yake ya facebook. Mimi naona cuf wako nyuma ya mgogoro huu wakijitafutia umaarufu baada ya kupotea kwenye siasa za Tanzania kwa muda mrefu. Cuf wamewagawa wazanzibar na watanganyika kwa kutumia uamsho sasa wanatugawa watanganyika kwa gesi asilia. Vyombo vya ulinzi vinapaswa kuwa macho.
wacha maneno yako ya kimagamba,mbona waislam ujasema wachochezi?
 
Chama cha wananchi cuf kinapanga kufanya mikutano ya hadhara kesho Mtwara kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kutoa elimu kuhusu gesi. Haya yamesema na Naibu Katibu Mkuu Bara Julius Mtatiro kwenye account yake ya facebook. Mimi naona cuf wako nyuma ya mgogoro huu wakijitafutia umaarufu baada ya kupotea kwenye siasa za Tanzania kwa muda mrefu. Cuf wamewagawa wazanzibar na watanganyika kwa kutumia uamsho sasa wanatugawa watanganyika kwa gesi asilia. Vyombo vya ulinzi vinapaswa kuwa macho.

Blahblahblah...haakuna jipya, picha ileile iliyoonekana kipindi cha kumng'oa mkoloni ndio iliyo onekana Mtwara. Usiwafundishe kazi usalama:madgrin:
 
Back
Top Bottom