CUF wafanya yao Zanzibar, Waiachia CDM jimbo moja

CUF wafanya yao Zanzibar, Waiachia CDM jimbo moja

CUF wametangaza majina ya Wanachama wataopigiwa kura za maoni kugombea Ubunge kwa majimbo yote ya Zanzibar wakiwaachia jimbo moja CDM huku wakiwa wamemteua Salum Mwalimu kugombea jimbo hilo. Source: Channel Ten Habari.

Well done CUF. Safi sana kwa kuwa hata huko bila shaka mtampigia kura. Good. Big up sana.
 
Wakuu kwa mujibu wa Msemaji wa CUF huko Zanzibar CUF wamekubali CHADEMA kusimamisha Mgombea Jimbo la
KIKWAJUNI.


MATOKEO YA KIKWAJUNI 2010:
KIKWAJUNI CCM 4,534 90.5%
CUF 1,860 28.9%
AFP 6 0.1%
JAHAZI ASILIA 10 0.2%,
NCCR MAGEUZI 0 0.0%,
NRA 12 0.2%,
TADEA 0.1%.

Weka matokeo ya ccm pia
 
mungu ibariki ukawa isonge mbele na ccm wazidi kugombana kila kukicha maana wezi wanazidiana mbinu waacheni wafu wazikane wenyewe ccm
 
Nafikiri asilimia si sahihi! Rekebisha.

Hizo vyekundu ni za cuf matokeo yaligeuzwa, uhakika upo wa kuchukua jimbo hilo kama chadema itakuwa na wasimamizi wa kura wazuri, nashauri tundu lisu achukue jimbo kama hamjui seif Ali iddi, ccm zanzibar ni wajinga Sanaa
 
ukawa mwaka huu komaeni sana hasa cuf huko zanzibar hadi ccm ishindwe mwaka huu
 
Back
Top Bottom