CUF wafanya yao Zanzibar, Waiachia CDM jimbo moja

CUF wafanya yao Zanzibar, Waiachia CDM jimbo moja

Kamuche

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
368
Reaction score
121
CUF wametangaza majina ya Wanachama wataopigiwa kura za maoni kugombea Ubunge kwa majimbo yote ya Zanzibar wakiwaachia jimbo moja CDM huku wakiwa wamemteua Salum Mwalimu kugombea jimbo hilo. Source: Channel Ten Habari.
 
Mwenye nguvu na aliyefanya kazi anaonekana . Hongera UKAWA kwa kazi nzuri , kumbe hamgawani Majimbo ila mnaachiana kwa vigezo .
 
Kama ndio hivyo Chadema kitaendelea tu kuwa chama cha Tanganyika wasahau tena kuvuka bahari
 
Nitakwenda Zanzibar kuhakikisha Salum Mwalimu anakuwa mwakilishi
 
Nimeamini CUF wameamua kuimarisha UKAWA kwa sababu kitendo cha wao kuachia jimbo kutoka kwenye ngome yao ni cha ujasiri.

Ni hatua nzuri iliyofikiwa na Ukawa tuwapongeze, ila watambue kazi iliyombele si ndogo inatakiwa mikakati mizuri na wateule kujipanga.
 
Sio Uwakilishi, Ubunge. SMZ haiwahusu Ukawa.
 
inatati imani kuwa viongozi wetu wapo serious,naamini kwenye maeneo mengine wataafikiana
 
Ni poa sana, hata wangechukua majimbo yote bado inapendeza kwani cuf ina nguvu kubwa sana huko. We can not afford to lose any constituency.
 
Back
Top Bottom