Elections 2010 CUF wafanya unyama Tandahimba!

Uko Karagwe mbuge anaishi kwa oxygen ya polisi kwa mujibu wa thread moja ya jana

Haya ndio matokeo ya udikteta, Tarime nao walishasema, Karagwe mbunge anapewa ulinzi wa polisi saa hizi. Shinyanga shida pia. Haya yataisha lini????????? Kikwete should do something to change this things, wamesha vuna vya kutosha waachie demokrasia ya kweli ichukue mkondo wake.
 
Nimeshaona kabisa kuwa mwisho wa siku ni serikali ya kitaifa, tena baada ya kuchapana sie wenyewe. Ccm hawana mpango wa kuachia hatamu
 
My take:JK ahakikishe at least majimbo kama Karagwe,Shinyanga Mjini,Mbovu West,Tandahimba,Tarime na mengine yenye utata yarudiwe uchaguzi angalau itampunguzia shinikizo ya kimataifa.EU wenyewe washasema uchaguzi haukuwa HURU NA HAKI!!!
 
Kuna majimbo zaidi ya 10 yaliyokuwa stahili ya upinzani ila wizi uliwapora. Hilo la kurudia uchaguzi humo ni mtihani sana kwa jk. Hana haya wala dhamira ya kufanya hivyo. Tanzania ni 'nchi ya amani' sana
 
CCM watajiju! Mi nipo huku kusini, tutawachinja mmoja mmoja hadi basi....

MBUNGE MWIZI WA KURA ole wake akanyage tandahmba, tutamfanya kitoweo.
 
baada ya matokeo ya ushindi wa ccm kutangazwa tandahimba cuf wapingana na matokeo kwa kufanya vurugu wachoma nyumba na gari la mshindi moto...
hiyo ni demokrasia gani?

Ni PM niwape hao watu mbinu za kuuwa
 
My take:JK ahakikishe at least majimbo kama Karagwe,Shinyanga Mjini,Mbovu West,Tandahimba,Tarime na mengine yenye utata yarudiwe uchaguzi angalau itampunguzia shinikizo ya kimataifa.EU wenyewe washasema uchaguzi haukuwa HURU NA HAKI!!!

dawa ni kutwangana tu..hatakwa manati ni vita tu
 
Mungu tuhurumie Tanzania isiyo na haki, a day will come whe our dream will come true!:bowl::bowl::bowl::bowl:
 
baada ya matokeo ya ushindi wa ccm kutangazwa tandahimba cuf wapingana na matokeo kwa kufanya vurugu wachoma nyumba na gari la mshindi moto...
hiyo ni demokrasia gani?
Mbona hukuuliza kuiba kura ni demokrasia gani? Ukipanda miiba tegemea kuvuna miiba!
 
Back
Top Bottom