masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,643
- 14,642
Kama ambavyo njaa na unafiki umeiangamiza Chadema kwa kuuziwa MafisadiNjaa na unafiki unakiangamiza chama cha CUF.
Siyo njaa mkuu, Maalim kafika ukingoni.Njaa na unafiki unakiangamiza chama cha CUF.
Kweli mkuu asante sana kwa kunote hilo.Uliwekwa uzi hapa kuhusu hili mkadai ni uzishi, haya sasa!! Watano kati ya tisa wamekataa kikao hicho cha zanzibar na hawamtaki Seif.
Kijana endelea kubishana na redio.Hao wajumbe hawana majina. Mbona hawajatajwa? Tunachojua sisi ni kwamba wajumbe wote 9 wa bodi ya wadhamini wakiongozwa na mwenyekiti, Mh. Khatau toka wilayani Masasi, walikuwepo kwenye kikao kilichofanyika Zanzibar hiyo juzi.
na bado,mtaicheza tu ngoma ya kinyamwez japo mwanzo mutajikwaaNjaa na unafiki unakiangamiza chama cha CUF.
umoja au udiktetaTatizo la cuf ni kukosa umoja sio kama chadema wakiamua na iwe moja wote inakuwa moja hakuna kurudi nyuma na kugawanyika
Wajumbe wa bodi ya wadhamini toka Bara wameonyesha kutokubaliana kabisa na msimamo wa upande wa pili unaopingana na Mwenyekiti wa CUF, Prof Lipumba.
Kulingana na habari za ITV saa mbili, mtanange unaoonyesha kuwa Bodi ya wadhamini imegawanyika kabisa, huku wajumbe toka bara wakisema mambo kutoka kwa Maalim, enough is enough.
Upande unaolalamikiwa kwa ukiukwaji wa taratibu ndani ya chama cha CUF, ni ule unaoongozwa na Maalim Seif. Mjumbe mmoja ameenda mbali zaidi na kudai tatizo ni usultani wa Katibu wa chama Maalim Seif.
Mjumbe huyo amedai Maalim amekuwa akijilimbikizia madaraka na hatimae kuwafukuza wanachama waanzilishi kama James Mapalala, Mzee Mloo na hata Hamad Rashid.
Mjumbe huyo akimfananisha Maalim na Napoleon aliyeshinda vita nyingi na hatimaye kuzidiwa nguvu katika mji wa Waterloo huko Ulaya, mjumbe huyo kasema Maalim sasa kafika Waterloo yake. Hapa ndo kafika.
Mjumbe mwingine amesema vikao vilivyoitishwa kinyemela huko Zanzibar bila kushirikisha wajumbe toka Bara ni ukiukaji mkubwa wa taratibu za chama.
Sinema inaendelea.
Tatizo la cuf ni kukosa umoja sio kama chadema wakiamua na iwe moja wote inakuwa moja hakuna kurudi nyuma na kugawanyika