CUF Ni Mkombozi wa WaTanzania

Kumbe bado WaTanzania walio wengi wanaipenda CUF , wananchi wanaimani ya kweli na CUF na wanaelewa majungu na njama za kukidhoofisha chama chao ambazo zimefanywa kwa awamu mbalimbali na wapinzani wao na hata wale wasio kitakia mema Chama hiki cha CUF.

CUf tofauti na vyama vingine kimekubalika kila pembe ya Tanzania kutokana na itikadi zake na sera ambazo zinatoa mwanga kwa kila anaezifahamu na hata kwa yule anaehadithiwa ,ni chama ambacho kama kisingehujumiwa basi leo hii waTanzania wangelikuwa mbali sana kimaendeleo.

Nguvu za CUF zimedumaa kutokana na dhoruba ilizopita na sasa imeanza kupata ahueni na kuanza kujipapatua ili kirudie katika hali yake ya zamani ili kufanikisha malengo yake ya kuliongoza Taifa hili la Tanzania.CUf inaamini kabisa nguvu za wanachama wake bado zipo kwani aliewahi kukipenda chama hiki basi hawezi kukiacha na ikionekana amekiacha basi bado ndani ya moyo wake ipo nafasi ya CUF ni kama wale askari wa akiba ,ambao wakati wowote vita ikitokea huwa wapo tayari kupambana.

Akiba hii ya wanachama ambao ndani yamioyo yao bado CUF imo na wapo tayari kwa lolote lile ,hawa ndio wale walio ngangari kinoma na ndio hazina ya CUF iliyo nyamaza na ipo kimya na ni hazina kubwa sana ,isiyomilikiwa na chama kingine.Karibu mbiu ya mgambo itaitishwa ili kuanza mapambano mepya ya kumrudisha na kuwarudisha maadui nyuma.
Vp shehe mtashiriki sensa?
 
Nape ndio nani ? Mimi simuelewi wala sina habari nae ,isiwe amewakurupusha huko mkafikiri na huku atathubutu ,huku hakuna kazi za kitoto ,ni mambo ya watu wazima tu.

Jogoo akiwika utatuambia usahihi ya kuwa nape ndio nani!!!! Jitutumue kumkana.
 
Cuf+ccm= valid marriage

CHADEMA + CCM = Valid mashoga (LESBIANs) ,si mnaona zile affairs mlizokuwa nazo bungeni.(babu chadema kaa kitako babu .....sikai kitako babu wala huninyamazishi....babu basi toka nje babu mpaka kikao cha kesho asubui babu....sitokii kwani bunge lako .... kamanda nani uyuusajent mtoe nje uyo chadema !:redface:
 
Nimesikia sheikh Ponda anasema eti sheria ya ugaidi ifutwe Tanzania. Akili za ajabu kabisa!!
 
makafiri ni wanaokufuru !Kama ulisoma vizuri ile mada iliokusudiwa jawabu hilo.

sasa hiii kali kutoka kwenye cuf hadi ukafiri wapi na wapi? Tanzania haina dini ila raia ndiyo wana dini. hivyo ndugu zangu maswala ya dini tuwaachie Mashehe na Wachungaji sisi ufanye siasa
 
makafiri ni wanaokufuru !Kama ulisoma vizuri ile mada iliokusudiwa jawabu hilo.

.......

Unajua hii dunia siyo rahisi kama ambavyo baadhi ya watu wanavyofikiri!!

Hapa tulikuwa tunaongelea siasa, sasa wanaokufuru imekujaje?

Au utueleweshe vema wanaokufuru nini??

Maana watu wanaoabudu ng'ombe, wewe unayemla unakufuru hivyo wewe ni kafiri??

Tujuze, ndfiyo hao unaowasema?

....wanaokufuru imani za wenzao hata kuwaita wenzao ni makafiri(kwa kukufuru imani zao) ndiyo MAKAFIRI makubwa!?

Sijui utanielewa!!..
 
Mkuu umesahau CUF nichama TAWALA au nikejeri kwa wana CUF?na nichama chenye histria yakipee nichama tawala chenye WABUNGE wachache TANGANYIKA nabado kimepewa dhamana na mwana ndoa mwenzake CCM.
 
.......

Unajua hii dunia siyo rahisi kama ambavyo baadhi ya watu wanavyofikiri!!

Hapa tulikuwa tunaongelea siasa, sasa wanaokufuru imekujaje?

Au utueleweshe vema wanaokufuru nini??

Maana watu wanaoabudu ng'ombe, wewe unayemla unakufuru hivyo wewe ni kafiri??

Tujuze, ndfiyo hao unaowasema?

....wanaokufuru imani za wenzao hata kuwaita wenzao ni makafiri(kwa kukufuru imani zao) ndiyo MAKAFIRI makubwa!?

Sijui utanielewa!!..
Unajua hii topiki haikuanza kwa udini ila sakubimbi mmoja ameleta mambo ya dini ,ila naona umepanda pressure kushinda pressure cooker ,tafsiri ya kafiri ipo kwenye dini ya uislamu tu ,huko kwengine wanarukia ,na hamna kitu ,ila ndio wameshajaaliwa ,kwani huwezi kumfundisha kipofu tofauti za rangi.
 
Tatizo inapotajwa CUF wengine mnapoteza akili .
 
Mkuu mi nipo missenyi mkoani kagera nielekeze OFISI ZA CUF zilipo, uku kila ninaye muomba msaada wajinsi yakufika ofisini kwenu ananipeleka kwenye ofisi za CCM sijui wanamaana gani.
 
Wewe usihangaike kutafuta ofisi za CUF kama una roho mbaya huzioni ,ila kama huna basi bakia huko huko uliko timiza wajibu wako siku ya kupiga kura ,usipate shida kumaliza ndara !
 
Kumbe bado WaTanzania walio wengi wanaipenda CUF , wananchi wanaimani ya kweli na CUF na wanaelewa majungu na njama za kukidhoofisha chama chao ambazo zimefanywa kwa awamu mbalimbali na wapinzani wao na hata wale wasio kitakia mema Chama hiki cha CUF.

CUf tofauti na vyama vingine kimekubalika kila pembe ya Tanzania kutokana na itikadi zake na sera ambazo zinatoa mwanga kwa kila anaezifahamu na hata kwa yule anaehadithiwa ,ni chama ambacho kama kisingehujumiwa basi leo hii waTanzania wangelikuwa mbali sana kimaendeleo.

Nguvu za CUF zimedumaa kutokana na dhoruba ilizopita na sasa imeanza kupata ahueni na kuanza kujipapatua ili kirudie katika hali yake ya zamani ili kufanikisha malengo yake ya kuliongoza Taifa hili la Tanzania.CUf inaamini kabisa nguvu za wanachama wake bado zipo kwani aliewahi kukipenda chama hiki basi hawezi kukiacha na ikionekana amekiacha basi bado ndani ya moyo wake ipo nafasi ya CUF ni kama wale askari wa akiba ,ambao wakati wowote vita ikitokea huwa wapo tayari kupambana.

Akiba hii ya wanachama ambao ndani yamioyo yao bado CUF imo na wapo tayari kwa lolote lile ,hawa ndio wale walio ngangari kinoma na ndio hazina ya CUF iliyo nyamaza na ipo kimya na ni hazina kubwa sana ,isiyomilikiwa na chama kingine.Karibu mbiu ya mgambo itaitishwa ili kuanza mapambano mepya ya kumrudisha na kuwarudisha maadui nyuma.

Pole sana; CUF ilipoteza fursa hiyo miaka michache iliyopita baada ya kukubali kuingia ndoa ya mkeka na CCM; CUF haiwezi kuvilaumu vyama vingine pinzani kwa masahibu yake, walishikwa mkono wakaikubali ndoa ya mkeka na haya ndio matokeo halali ya uchaguzi wao huo.
 
Nakuunga mkono Mwiba, ni vizuri muwe mnatukumbusha kidogo kuwa kuna chama kilichokuwa kinaitwa CUF ili kisijesahaulika kwenye historia ya siasa Tanzania
 
Back
Top Bottom