Duplicate_90
JF-Expert Member
- Mar 29, 2020
- 272
- 308
Teeheee... Mbona lipumba alikubali kurubuniwa akapindua meza 2015? Tamaa na umaskini wake umeisha nowdays??
Seif hawezi kuchomoa.Mimi nachongoja kwa hamu ni maamuzi ya ACT-Wazalendo chini ya Mwamba wa siasa za Zanzibar,Maalim Seif! Nikisikia Mwamba huyu amekataa uhayawani wa CCM nitajua Upinzani licha ya kunyanyaswa na Utawala wa Kidikteta bado ni imara.